Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama kipaumbele ni tabia, utakutana na kitu ambacho hakishawishiKwa hio tukamate pisi kali yenye bleach kichwan halafu tuweke ndani, tabia tuachane nayo sio kipaumbele.???
Nenda kwenye uzi wa picha picha, uone vifaa; wale ndio wanatakiwa wawe ndaniKuoa ni kuoa tu, uzuri wa mwanamke upo machoni pa mwanaume wake.. Hakuna mwanamke mmbay, hakuna sie na shape nzuri.. Maana nguvu za kuchagua zipo tofauti.. Kama wako weka ndani mtunzane msubiri kufa
Kwa mfano mie haka maisha saafi ila wengine wanakapondaa kabayaNenda kwenye uzi wa picha picha, uone vifaa; wale ndio wanatakiwa wawe ndani
Hawa ndio wakuweka ndani; sio unakimbilia tabia, huku shepu na sura ukisema mtavumilianaKwa mfano mie haka maisha saafi ila wengine wanakapondaa kabayaView attachment 2366600
Ndio hivyo mkuu, wengi wanasema wameoa; ingawa bado kujua maana halisi ya neno kuoa; wengi wanasindikizana kimaisha (wanavumiliana)Mleta mada nimekuelewa vizurii
Kwa wengine sio wazuri, haya mambo mazuri kabisaHawa ndio wakuweka ndani; sio unakimbilia tabia, huku shepu na sura ukisema mtavumiliana
Kwa nini mkuuUna umri gani?
Pambana; cha kuvumilia ni tabia tu; na sio shepu wala suraKwa wengine sio wazuri, haya mambo mazuri kabisaView attachment 2366606
Kanafaa kuliwa hako ๐Kwa mfano mie haka maisha saafi ila wengine wanakapondaa kabayaView attachment 2366600
Wa kawaida sana huyu demuKwa wengine sio wazuri, haya mambo mazuri kabisaView attachment 2366606
Haka katoto sumu kweli, mzee haka lazma wahuni tuishi labda kawe hakatembei kwa miguu ๐๐๐Kwa wengine sio wazuri, haya mambo mazuri kabisaView attachment 2366606
Wanasema, huo ni msalaba wakoOooh hapa ndo ile kitu inakuja kuhitimisha kua mtavumiliana kwenye Shida na Raha" Kwa "magonjwa na Afya" mpaka kifo kitakapo watenganisha.
Wakuu kama pisi yako kali nenda zako
Kwa sura tu anaonekana wife material๐Kwa mfano mie haka maisha saafi ila wengine wanakapondaa kabayaView attachment 2366600