Kuna kusudi la Mungu wewe kusoma huu uzi

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.

Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.

Ni wewe unayeenda.
Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho.

Ni wewe unayekua mzee na kufa. Muda haukui wala kufa. Kwa hiyo, tumia vyema muda wako kabla haujaisha.

Na mojawapo ya makosa makubwa unayoweza kufanya ni kujilinganisha na wengine.

Ng’ombe hula majani na kunenepa, lakini mbwa akila majani, atakufa.

Usijilinganishe na wengine. Kimbia mbio zako.

Kinachomfaa mtu mmoja kinaweza kuwa sumu kwako. Zingatia vipawa na talanta Mungu alizokupa, usione wivu kwa baraka alizowapa wengine.

Simba na Papa wote ni wawindaji hodari, lakini
Simba hawezi kuwinda baharini, na Papa hawezi kuwinda msituni.

Kushindwa kwa Simba kuwinda baharini hakumfanyi asiwe na maana, na kushindwa kwa Papa kuwinda msituni hakumfanyi asiwe na maana pia.

Kila mmoja ana eneo lake analoweza kufanikiwa.

Ikiwa waridi linanukia vizuri zaidi ya nyanya, haimaanishi kwamba waridi linaweza kutengeneza mchuzi bora. Usijaribu kujilinganisha na wengine.
Wewe pia una nguvu zako, zitafute na zijenge.

Wanyama wote waliokuwepo, kwenye safina ya Nuhu.
Konokono ni mmoja wa wanyama hao.

Ikiwa Mungu aliweza kusubiri vya kutosha hadi konokono aingie safinani, basi mlango wako wa neema hautafungwa mpaka ufike mahali ulipopangiwa maishani.

Usijidharau, endelea kuangalia juu.
Kumbuka kwamba rangi iliyovunjika bado ina rangi.

Endelea kusukuma mbele; huwezi kujua jinsi ulivyo karibu na lengo lako.

Mwisho mungu awabariki wote na awafanyie wepesi kwa kila jambo la msingi utalolifanya huu mwaka.

Ni mwaka mpya, jitayarishe, wakati wako umefika.
 
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda ni nini ?
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Sasa kama kuna mwisho wa dunia hence mwisho wa kitu huoni kwamba kuna movement kuelekea mwisho huo ? Yaani kama mwisho ni 100 units hivyo sasa hivi upo 50 units kwahio itafikia 40 Units n.k. ?

Hata Nishati inayofanya dunia iendelee kuwepo kama ilivyo JUA (Ni nyota ambayo itafika wakati Nishati inayoliendesha itakwisha) kwahio ili kufahamu wakati uliobakia lazima tuwe na Standard Unit na tumeamua kutumia Masaa / Muda; Au Miaka ambapo Mwaka mmoja unachukua siku 365 na Ushee, na Ukiuliza Siku ni Muda ambao Dunia inazunguka katika Muhimili wake
 
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.

Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.

Ni wewe unayeenda.
Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho.

Ni wewe unayekua mzee na kufa. Muda haukui wala kufa. Kwa hiyo, tumia vyema muda wako kabla haujaisha.

Na mojawapo ya makosa makubwa unayoweza kufanya ni kujilinganisha na wengine.

Ng’ombe hula majani na kunenepa, lakini mbwa akila majani, atakufa.

Usijilinganishe na wengine. Kimbia mbio zako.

Kinachomfaa mtu mmoja kinaweza kuwa sumu kwako. Zingatia vipawa na talanta Mungu alizokupa, usione wivu kwa baraka alizowapa wengine.

Simba na Papa wote ni wawindaji hodari, lakini
Simba hawezi kuwinda baharini, na Papa hawezi kuwinda msituni.

Kushindwa kwa Simba kuwinda baharini hakumfanyi asiwe na maana, na kushindwa kwa Papa kuwinda msituni hakumfanyi asiwe na maana pia.

Kila mmoja ana eneo lake analoweza kufanikiwa.

Ikiwa waridi linanukia vizuri zaidi ya nyanya, haimaanishi kwamba waridi linaweza kutengeneza mchuzi bora. Usijaribu kujilinganisha na wengine.
Wewe pia una nguvu zako, zitafute na zijenge.

Wanyama wote waliokuwepo, kwenye safina ya Nuhu.
Konokono ni mmoja wa wanyama hao.

Ikiwa Mungu aliweza kusubiri vya kutosha hadi konokono aingie safinani, basi mlango wako wa neema hautafungwa mpaka ufike mahali ulipopangiwa maishani.

Usijidharau, endelea kuangalia juu.
Kumbuka kwamba rangi iliyovunjika bado ina rangi.

Endelea kusukuma mbele; huwezi kujua jinsi ulivyo karibu na lengo lako.

Mwisho mungu awabariki wote na awafanyie wepesi kwa kila jambo la msingi utalolifanya huu mwaka.

Ni mwaka mpya, jitayarishe, wakati wako umefika.
Well done, such inquisitive writing worth reading.
 
Back
Top Bottom