Kuna lengelenge linanitokea juu ya ukuta wa uume, ni nini hiki?

Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.

Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.

Hivyo vijipele vitatu!

View attachment 2687474
Umekwisha 😂😂😂 soon kinataeleweka 💣💣na utarudi hapa tu
 
Pamoja nimendindisha kuona ngozi Yako hiyo

nikupe USHAURi

Kama uko dar au mkoani ,nenda pale mlimani city uliza nyembe zinazouzwa 45000 ,ukinyoa vuzi miezi mitatu mpaka minne hutanyoa vuzi na vipele vitaisha

Mtoto wakiume mweupe hivyo harafu unanyoa Kwa topaz kweli
pole sana...kama unataka 'mjegeke' Sema usiwe na wasiwasi watu wapo watakupachika tu..

all in all ushauri n Mzur sana...Mkuu unajijua lkn haujielew ![emoji23]
 
Kwahiyo akili zako zikatuma upige vuzinyo picha ..Afya ya akili ni janga la taifa .

Naomba nikuulize na swali hili je unapoishi hakuna hospital mpaka ulete vuzinyo lako JF .
Mkuu ujakua .
 
Sasa mkuu kama umeshaona kwamba ukinyoa vinapotea kwa nini unauacha msitu unamea kiasi hicho? Maintain usafi mkuu, jaribu kuhakikisha msitu hupatikani nafasi ya kustawi ili uone kama havitakuja tena!
ntafanya hvyo mkuu'... shukran kwa ushauri
 
Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.

Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.

Hivyo vijipele vitatu!

View attachment 2687474
Shusha camera kidogo plz
 
Siku unanyoa kiwembe usikivutie juu kipeleke chini kama kichaka kinavyoota.hilo lipasue alafu jipake mafuta ya nazi chaka likikua vinakauka vyote ngozi inarudi kwenye ubora wake
 
Back
Top Bottom