Chawa wa Zamani
Senior Member
- Mar 12, 2023
- 145
- 224
Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.
Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.
Hivyo vijipele vitatu!
Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.
Hivyo vijipele vitatu!