Kuna lengelenge linanitokea juu ya ukuta wa uume, ni nini hiki?

Kuna lengelenge linanitokea juu ya ukuta wa uume, ni nini hiki?

Basi hiyo sio herpes zooster, muone daktari usiogope
We usimpambe,mwambie hilo ni kaswende lililoambatana na Gono na Pangusa. Mwambie ukweli kuwa hiyo ni dalili ya UKIMWI ajiandae tu kuanza kumeza njugu kila siku maisha yake yote kwani ndio madhara ya umalaya aliyokuwa anafanya.🤣😂🤣😂😄😆
 
Usifanye hivyo mkuu.
Tuheshimu afya za wengine
 
We usimpambe,mwambie hilo ni kaswende lililoambatana na Gono na Pangusa. Mwambie ukweli kuwa hiyo ni dalili ya UKIMWI ajiandae tu kuanza kumeza njugu kila siku maisha yake yote kwani ndio madhara ya umalaya aliyokuwa anafanya.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji38]
sawa umesikika mkuu'..chagua wimbo? hahah
 
kijana alikimbia umande huyo hajui kaz ya hilo Vuzi n kukukinga na maradhi vilevile linabalance temperature...sio kosa lake..n hio shule aliosomea ujinga ...[emoji23]
Elimu za kukariri. Yan kutaka kufanana kwa watu wote nayo ni mbaya. Inafaa kilamtu awe na lifestly yake bana
 
Pamoja nimendindisha kuona ngozi Yako hiyo

nikupe USHAURi

Kama uko dar au mkoani ,nenda pale mlimani city uliza nyembe zinazouzwa 45000 ,ukinyoa vuzi miezi mitatu mpaka minne hutanyoa vuzi na vipele vitaisha

Mtoto wakiume mweupe hivyo harafu unanyoa Kwa topaz kweli
 
kijana alikimbia umande huyo hajui kaz ya hilo Vuzi n kukukinga na maradhi vilevile linabalance temperature...sio kosa lake..n hio shule aliosomea ujinga ...[emoji23]
Uchafu huo usisingizie chochote hapa.
 
Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.

Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.

Hivyo vijipele vitatu!

View attachment 2687474
usitumie wembe tumia shaver
 
Back
Top Bottom