Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Dada mbona unataman kufa mapema?

Duniani kuna mambo meeengi, sio kila kitu lazima kiwe kama unavyotaka wewe, na ukiwa na tabia ya kubeba kila kitu, utakufa mapema kwa mawazo.

Kimsingi jamaa alikuwa anajaribu bahati yake tuu, kama hujamuelewa unampotezea tuu, sio had uanze kutoa ya moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetumia lugha kali aiseee..ila ngoja wajuvi waje..

Ugiligili
 
Nimecheka sana.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dahhhh nimejikuta roho inaniuma dahhhh saw kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe sasa ila humunkuna utani sana dada sidhani kama kuna mtu anapenda kuonyesha uchi wake humu kwa kua sio heshima na akitokea mtu akafanya hivyo humu utaona atakavyoandamwa kama yule dada anajiita AmberTuth alivyoonesha matiti yake mtandaoni lakini watu walimshulikia haswa..heshima kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa uyo alionyesha matiti sijaonaga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] labda sio yeye kachukua picha za mitandaoni tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa josaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kitu cha bure unanikwaza misio Malaya sawa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Jf hii utapata wapi heshima ni ngumu kuipata lkn pia kuzungumzia tu haya umejitoa heshima tayari, kuzungumzia private parts kama hizo tayari ni umalaya nafsi yako haina haya.
Kama amekuudhi msamehe lkn humu utapata stress bure kwa sababu umeivunja heshima yako mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…