Bonobo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 364
- 670
Dada mbona unataman kufa mapema?Hivi unaposema nikutumie papuchi yangu hapa au pm ukisema hujamaanisha hivyo ulimaanisha nini mjue ngoja niseme sio kila mwanamke mitandaoni ni Malaya sio kila mwanamke Wa kumzarau kiukweli umenikwaza sawa umenichukuliaje labda eti Haiwezekani unchukulie poa kiasi hicho mwili wangu unathamani kubwa sana kwangu sio lazima watu kama nyinyi mjue thamani ya mwili wangu ila Mimi Na Mungu wangu tunatosha sana kuijua thamani ya mwili wangu kaka umenikwaza sana aiseeeeee umepata ujasili gani kuniambia hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kuna mambo meeengi, sio kila kitu lazima kiwe kama unavyotaka wewe, na ukiwa na tabia ya kubeba kila kitu, utakufa mapema kwa mawazo.
Kimsingi jamaa alikuwa anajaribu bahati yake tuu, kama hujamuelewa unampotezea tuu, sio had uanze kutoa ya moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app