Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
HIL INDO NALOLIULIZA SANA MKUU..!Kweli hapa ni changamoto pale umepiga chanjo fulani fulani nchi yako alafu ukienda nchi nyingine kwenye cheti imeonesha umepigwa chanjo fulani kwa nchi nyingine haitambui, aisee hapa ni mziki
Tunatekeleza ilaniKUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..?
Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi!
Mashaka yangu ni upinzani wa hzi chanjo za korona kwa mataifa yenye nguvu! Vipi pale unafanya entry nchi fulani halafu hamna ruhusa bila certficate au chanjo inayowahusu au waliyoikubali wao
Naombeni kutolewa wasiwasi.
shukrani..