#COVID19 Kuna madhara kuchoma chanjo ya Corona mara mbili?

#COVID19 Kuna madhara kuchoma chanjo ya Corona mara mbili?

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
971
Reaction score
1,165
KUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..?

Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi!

Mashaka yangu ni upinzani wa hzi chanjo za korona kwa mataifa yenye nguvu! Vipi pale unafanya entry nchi fulani halafu hamna ruhusa bila certficate au chanjo inayowahusu au waliyoikubali wao

Naombeni kutolewa wasiwasi.

shukrani..
 
Japo tunawasubiri wajuzi wajekutoa muongozo

Lakini kwa mtazamo wangu, nadhani utofauti wao ni katika taifa moja kutumia chanjo ya taifa jingine (si unajua mafahari wawili.....) na unajua ni suala la afya/uhai wa mtu hivyo kila mtu anataka ajiridhishe na chake.

Lakini kama itakuwa taifa moja linaona chanjo ya taifa jingine haina ufanisi wowote, yaani kuihesabia kama sio chanjo kabisa.

Basi hapo tujiandae kuchanja chanjo zaidi ya moja, na hii itakuwahaimake sense.
 
Kufanya hivyo ni matumizi mabaya ya rasilimali (fedha na muda) ili hali wengine wana uhitaji wa chanjo hizo
 
Kweli hapa ni changamoto pale umepiga chanjo fulani fulani nchi yako alafu ukienda nchi nyingine kwenye cheti imeonesha umepigwa chanjo fulani kwa nchi nyingine haitambui, aisee hapa ni mziki
 
Kweli hapa ni changamoto pale umepiga chanjo fulani fulani nchi yako alafu ukienda nchi nyingine kwenye cheti imeonesha umepigwa chanjo fulani kwa nchi nyingine haitambui, aisee hapa ni mziki
HIL INDO NALOLIULIZA SANA MKUU..!
 
KUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..?

Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi!

Mashaka yangu ni upinzani wa hzi chanjo za korona kwa mataifa yenye nguvu! Vipi pale unafanya entry nchi fulani halafu hamna ruhusa bila certficate au chanjo inayowahusu au waliyoikubali wao

Naombeni kutolewa wasiwasi.

shukrani..
Tunatekeleza ilani
 
Back
Top Bottom