Kuna madhara mjamzito kupanda mlima Kilimanjaro

Kuna madhara mjamzito kupanda mlima Kilimanjaro

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
332
HABARI wakuu

Naombeni USHAURI, nina mpango wa kupanda mlima kilimanjaro, this holiday season.
Tatizo mpenzi wangu ana ujauzito wa miezi 2. Je Kuna madhara yoyote? Maana kasema hawezi rudi Nigeria kabla hajapanda mlima kilimanjaro mpaka uhuru pic, apeperushe bendera ya Nigeria.

Je Kuna madhara yoyote kwake au Hata Kwa ujauzito wake?
 
Nyie nanyi! kila jambo lenu mnaleta jamiiforum namashaka hata uko facebook kwenu mmepost na insta!!

Hakuna madhara mwambie apande akapeperushe tu bendera ya nigeria
 
Ni hatar sana kwa afya yake mi nakushauri asiende kama unampenda.
 
Nyie nanyi! kila jambo lenu mnaleta jamiiforum namashaka hata uko facebook kwenu mmepost na insta!!

Hakuna madhara mwambie apande akapeperushe tu bendera ya nigeria

Ur so rude, anyway may be ur rudeness satisfy ur soul!! Or something similar to that......
 
Beba kabisa na delivery kit, anaweza kujifungua njiani na hiyo miezi miwili
 
Ur so rude, anyway may be ur rudeness satisfy ur soul!! Or something similar to that......

Ujumbe umefika mambo mengine hayahitaji kuanzishiwa thread
 
Asee kwa ile milima na baridi ya kule haitakua suitable kwake asiende kule itakua risk
 
Back
Top Bottom