47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
HABARI wakuu
Naombeni USHAURI, nina mpango wa kupanda mlima kilimanjaro, this holiday season.
Tatizo mpenzi wangu ana ujauzito wa miezi 2. Je Kuna madhara yoyote? Maana kasema hawezi rudi Nigeria kabla hajapanda mlima kilimanjaro mpaka uhuru pic, apeperushe bendera ya Nigeria.
Je Kuna madhara yoyote kwake au Hata Kwa ujauzito wake?