Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
Kuna mambo mitaaniDaaah story za mtaan zina chekesha
Ile ni damu ya kawaida tuu cha msingi asiwe na magonjwa kama HIV hepatitis ila haina shidaa
Ni sawa mtu ajikate damu umwagikie kwake kama haumwi haina shida
Kwenye taaa mkuu hutaman hata kumgusa mwenzako maanaa unakuta lile eneo Lina mabaka mabaka mara mapele mara makovu...plus michirizi...mixer harufuKwanini mnafanya tendo gizani? Mnaogopana? Pangekuwa na mwanga usingeshindwa kuona dalili…
mwezi mtukufu huu hatutaku ujingaMwana kulitafuta, mwana kulipata. Mwezi ujao ni zamu yako kuingia period na kitu kitatokea mdomoni.
Kwa hiyo mkuu wewe ukiingia chumvini unameza kila kitu? Haya mambo ya kuiga wazungu muache aisee!Aliniambia kuwa ni kati ya masaa yajayo anaweza kuingia au siku ya pili yake
Limebugia hedhi kama zuzu! Hii mimi ingekuwa siri yangu na mpenzi wangu lakini siyo kuja hadharani kama hivi!hahahhhaa we jamaa akili mbili kweli yaani..
Ushasema bahati mbaya,japo bahati mbaya siyo kiswahili sanifu,basi hata ukipata dhara,ni bahati mbayaWakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi.
Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa home tu.
Mtoto alifika fresh nikampokea akalala kama masaa mawili hivi baadae akaamka basi tukaanza romance za hapa na pale mtoto akaitika baadae akanishika kichwa akanizamisha uvinza basi nikapiga deki la kutosha ila nilihisi radha tofauti mdomoni nikapotezea baada ya muda ikabidi niangalie nakuta kumbe demu kaingia period bila yeye mwenyewe kujua japo alishanitaadharisha before. But akujua kama inaweza kutokea leo.
Wakuu mimi kitu kinachoniuma hii issue nimekuja kuistukia tayari nimeshakunywa litre kadhaa za damu.
So, wapambanaji naomba mnijuze kama kuna mtu alishawahi kutana na hayo mazingira na vipi hatua za kuchukua za kimatibabu kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata.
Nipo nasoma comment.
Hakukuwa na harufu yoyote mkuuHivi Kuna mtu anaingia p hajui??
Kwasababu one thing about that issue unapoteza comfortability ...yaan unashindwa kuwa huru hta kabla hakijaanza ....alafu Huwa Ina harufu mnoo mpka unapeleka mdomo ulimi hukusikia harufu??
Wewe bhana tulia litakalokukuta likukute kujikuta wewe ndio umezaa ngono Wacha kikurambe tuu
SeriousllyCancer✅🔥🔥🔥
Ilishakukuta mkuuMie sijaona madhara yoyote
Mkuu hakukuwa na harufu yoyoteNa Damu ilivyo ya moto , kudadeki oyaaa uliweza himili kunywa Damu pamoja na harufu yake mbaya?
🤣🤣🤣
Mkuu sio poa yani nilijiskia vibaya mnoHamna madhada yoyote mzeya.
So ukainua kichwa kutoka chumvini ukiwa na midamu kwa ndevu kama simba dume anamla nyumbu🤣🤣🤣....bonge la experience hilo
Pole 😂
Nikasemeje huko hospitalPengine test za antibiotic mzee wangu! But nenda hospital kwa utaalam zaidi
Mkuu nimekoma mwisho leoKile kiungo ni kichafu unapitisha mdomo kuleta ufundi utakuja kupata ugonjwa hata hospitali watajiuliza umeutolea wapi na wewe uwe sampuli ya kutafutia tiba
Mkuu nilikuwa nina genye mbaya halafu huyo mtoto namuelewa kinoma yaniKwa hiyo mkuu wewe ukiingia chumvini unameza kila kitu? Haya mambo ya kuiga wazungu muache aisee!
Sasa kama ni siri yangu nitapataje tiba??Limebugia hedhi kama zuzu! Hii mimi ingekuwa siri yangu na mpenzi wangu lakini siyo kuja hadharani kama hivi!