Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

Bamdogo angu alikufa Kwa kula nyama na mchanganyiko wa hezi ya mkewe alikufa na mkewe alikiri baada ya mazishi kupita
 
Bahati mbaya ndio nini?
 
Wanasema ni sumu pia subiri kuwa shoga maana zina homon nying za kike we ni wawapi unananyonya papuchi unameza WtF!!!,nanyonya adi kinyelo ila sijawah meza ule uchafu wala haufiki kooni ni kucheza na apex ya ulimi tu
 
We Kijana:
1. Acha kudanganya watu hapa eti umejistukia umekunywa lita kadhaa... ...ni uongo kabisa. Hiyo damu haipo nyingi kivile au haiwezi kutoka nyingi kiasi hicho hata nusu lita haifiki kwa mara moja. Kumbuka damu hiyo hudumu kutoka kwa mfululizo (consecutively)wa siku 3-5. Sasa Kwa ulivyosema, ina mana atakuwa amepoteza lita nyingi sana kitu ambacho kitaweza kumsababishia Tatizo la Enaemia i.e. Upunghufu wa damu mwilini.
Kwa hiyo hujanywa hata lita moja mzee. Mbona maji huwezi kunywa mengi kiasi hicho kwa mara moja?
2. Utapata shida kubwa ya kisaikolojia kutokana na ww kulileta jambo lako hili lilokuwa sirini sasa umeliweka hadharani. Wewe endelea kuketi hapo kusoma koments lakini koments ndo zitakuumiza na kukufikirisha zaidi na zaidi.
3. Habari njema kwako ni kwamba kama hakuna viini vya uambukizo kwenye damu ya hedhi e.g. UTI, HIV, Candida n.k.; damu hiyo haina madhara yoyote kiafya ila ni KINYAA (aethetic) ndo mana hata wenye nayo huitupa tena kwa kificho, mbali au kuifukia shimoni isionekane na watu wengine. Halafu ujue sio sumu hata kidogo na kwa namna fulani damu hiyo hutumika (baada ya kufanyiwa mchakato maalum) kutibu tatizo la Ini kufeli -Liver failure(treatment for liver failure).
Mwisho : Uwe na Amani ya moyoni ila usirudie tena UJINGA huo.
Ni hayo tu.

.
 
Ahsante mkuu
 
Navojua mimi ni ile damu ya mwishon ya hedhi ikichanganywa na mavi ya mwisho yale yanayobaki unapomaliza kujisaidia hapo hata uende hospitali gani huponi. Ila damu ya hedhi peke yake sidhan kama inaweza kuua zaidi itakuletea mvurugiko wa tumbo maana ni uchafu pia inatia kinyaa.
 
Wee jamaa mjinga sana damu ya hedhi inavyonuka vile ukihisi harufu tofauti na kwa nini unyonye **** ushawahi kumwona mgonjwa wa kansa ya koo anavyoteseka?? Kansa inakunyemelea wewe
 
Wee jamaa mjinga sana damu ya hedhi inavyonuka vile ukihisi harufu tofauti na kwa nini unyonye **** ushawahi kumwona mgonjwa wa kansa ya koo anavyoteseka?? Kansa inakunyemelea wewe
Mkuu siwez kurudia tena huu ujinga
 
Yeah kweli mkuu tumbo lilivurugika sana baada ya pale
 
Mkuu hutapata madhara mengine zaidi ya sauti kubadilika na kuwa kavu kama ya mchungaji wa kilokole. Nakushauiri ununue bibilia uanzisha kanisa haraka ili mtaani kwenu watu wajue kuwa sauti yako imekauka kutoka na na huduma ya maombi.
Mbaga Jr mzabzab
 
Ilikuwa
Ilikuwa Portrayed kwenye movie za Nigeria,Mama G alimnywesha bint wake wa kambo.Alifariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…