Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

 
Aha! Mapenzi ya kizungu au sio

Kijana kama wewe wana

Au basi hongera kwa kula damu
 
Mwezi huu hauishi tutakuimbia parapanda!
 
Kwangu mim hua naskia tu vijistory kua inzi hatui kwenye ile damu ni hatari.. Pia inaua binadam japo cna uthibitisho.

Fanya hv kama unahs ni sumu ili kujikinga..
~Kunywa maziwa kila sku angalau one week.
~tafuna kipande cha mkaa kila cku au unga wa mkaa na maj vuguvug robo lita kunywa week.

~mwisho tafuna kitunguu saumu mdomon na umeze, hiyo inaua fangas, kwa wanaopenda zama chumvin mpende tumia. Bila ivo mdomo mwekundu
 
Daaah story za mtaan zina chekesha
Ile ni damu ya kawaida tuu cha msingi asiwe na magonjwa kama HIV hepatitis ila haina shidaa
Ni sawa mtu ajikate damu umwagikie kwake kama haumwi haina shida
 
Hiki kichwa sa100 anategemea nacho kitaongeza chochote kitu kwenye pato la taifa?

Hasara hii.
Ukiongeza wewe inatosha
Mbona sio kila mtu analima lakin watu wanakula kila siku
 
Hiki kizazi Cha ovyo Sana Kila unachoona wanafanya wazungu unaiga, mngeiga vitu vya maana tungekuwa mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…