Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,

Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu linaendelea ila sijawah kaa mda mrefu bila mahusiano.

Sasa mwaka huu nataka nijaribu labda nifike mwakani hivi lakin watu wananiambia ni ngumu sijui sitokuwa sawa je kuna ukweli wowote hebu wenye experience naomba mnipe muongozo kabla sijajicommit kwenye maimpossible things
Kwa nini uchague maimpossible things na kuna mapossible things
 
Back
Top Bottom