Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Au SioUnless your a teenager, lkn kama ni mzoefu unaweza zuia Hizo unnecessary nyege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au SioUnless your a teenager, lkn kama ni mzoefu unaweza zuia Hizo unnecessary nyege
Kama uliweza bila kufanya wala kupiga nyeto hongeraInawezekana sana... nina 27 yrs na sijawahi kuwa kwenye mahusiano.....
Mind can not control involuntary actions such as breathing, pumping action of the heart, peristalsis and control of blood pressure. Lakini njaa ya sex iko kwa uwezo wa MIND kuidhibiti as u wish😁Kama uliweza bila kufanya wala kupiga nyeto hongera
Kama upo Iran sawaInawezekana sana... nina 27 yrs na sijawahi kuwa kwenye mahusiano.....
🤣🤣Kama upo Iran sawa
Naunga mkono hoja mkuu..... sema usije kuwa unajikulia SHARIA mkononi....
Hamna shida kabisa. Tena ukizoea kukaa mwenyewe, hautataka kuwa na mwanamme maana utaona mzigoHeri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,
Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu linaendelea ila sijawah kaa mda mrefu bila mahusiano.
Sasa mwaka huu nataka nijaribu labda nifike mwakani hivi lakin watu wananiambia ni ngumu sijui sitokuwa sawa je kuna ukweli wowote hebu wenye experience naomba mnipe muongozo kabla sijajicommit kwenye maimpossible things
Ngoja Gen Z waje watakupa maarifahuu ndo was was wangu au kuna vitu ukifanya unakaa sawa