Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 344
- 464
Viungo husika vitapata kutu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diarra yupo golini kweli?Mkuu am a man...
Kama wewe ni mwanamke madhara yake gharama za maisha zitakua juu kwa sababu hakuna mwanaume wa kukusaidia kulipa bill kwa reward ya mbususuHeri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,
Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu linaendelea ila sijawah kaa mda mrefu bila mahusiano.
Sasa mwaka huu nataka nijaribu labda nifike mwakani hivi lakin watu wananiambia ni ngumu sijui sitokuwa sawa je kuna ukweli wowote hebu wenye experience naomba mnipe muongozo kabla sijajicommit kwenye maimpossible things
Naongea kama mtu niliyesoma psychology 3rd levelNani kakuambia et kutokua na mahusiano unaharibika kisaikolojia? Hii ya wap na nan kasema au nin kimfanye mtu aharibike kisaikolojia kisa mapenzi hell Nooooo
Kila kitu kina faida Na hasara zake na kwa case yako ni bora uone mtu anakuambia upuuzi na baada ya muda uujue ukweli kuliko uamini kila unachoambiwa. Utapigwa matukio zaidisasa which is which? kuathirika nmeshaanza maana mtu akiniambia ananipenda naona anaongea upuuzi
Mkuu unazingua ujue kutokuwa na mahusiano kunahusiana vipi na mambo ya upinde??? Sijawahi kuwa na mahusiano na yeyote hata urafiki tu na washkaji changamoto sana......Diarra yupo golini kweli?
Mpiga nyeto pro maxTuko wengi mkuu sio yeye peke yake
Haaaaaa me siko hukoo kwenye chama Cha drone drakeMpiga nyeto pro max
Nikumwagie ndani ? Nimekunong'oneza hajasikia mtu
Unaumri gan hujala kei kama hujili mwenyeweHaaaaaa me siko hukoo kwenye chama Cha drone drake
Sawa utataka umme sasa hahah
Mweeeh haya mambo ni maamuzi tu mkuuSawa utataka umme sasa hahah
Hahah mimi sina cha kusemaMweeeh haya mambo ni maamuzi tu mkuu
Sema mnajiendekeza sana mkuu
Uhakikaa mkuuHahah mimi sina cha kusema
Saaafi kabisa, akitoka tu wazungu waleeeeeUnafika hata miaka cute...
Labda uwe hujaamua
Kama hujaamua toka ndani,kesho tu wanakumwagia🥴
Kama unataka/unaupwiro na huna access ya kuburudika, unaweza athirika ki-saikoligia, lakini kama umeamua hivyo kwa hiyari, there is no any bodly and mind consequences😁Kwa experience yangu ndogo, nadhani madhara ni kubadilika badilika kwa moods hovyo na kupata hasira za kila mara kiasi cha kufanya overeaction.
Pia kuna upweke mzito na kama utajilinganisha na watu wengine ama la utapitia situations ngumu za kimaisha. Kupata depression ni rahisi
Zaidi ya hayo sidhani kama kuna athari za kiafya
Unless your a teenager, lkn kama ni mzoefu unaweza zuia Hizo unnecessary nyegeNyege zikizidi utafanania na chizi.