Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
HAKUNA MADHARA YOYOTEKwema wanajamvi...
Kama kichwa cha habari kinavyosema..naombeni kujuzwa
Ni kipi hiko cha moto mkuuHamna madhara ila cha moto utakiona
Kama umekamilika utajua nnacho maanishaNi kipi hiko cha moto mkuu
Je Wanaosema nanii zikizidi unakuwa mad mad au unacheka cheka ovyoHAKUNA MADHARA YOYOTE
Labda alikuwa anapiga kisiri siri mkuu
nanii nini?Je Wanaosema nanii zikizidi unakuwa mad mad au unacheka cheka ovyo
Nimekamilika ila sina uhakika kama mitazamo itakuwa inafanaKama umekamilika utajua nnacho maanisha
Sio madhara hayo n maudhi madogo madogoJe Wanaosema nanii zikizidi unakuwa mad mad au unacheka cheka ovyo
Ge.nyenanii nini?
Sio mtazamo n psychology hiyoNimekamilika ila sina uhakika kama mitazamo itakuwa inafana
Asnt mkuu..