Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Hakuna Madhara..
Hakuna Cha Moto...
Hakuna Cha Baridi...
we jitahidi kudhibiti fikra za kichwani kila kitu kinakuwa sawa... mihemko huanzia kwenye ubongo kwanza kabla ya kuja chini
Vipi na wewe unaweza kuhimili mihemko
 
Kwa wewe unaweza ukajibuje
Mimi nilianza kut@mb@ nikiwa na miaka 25, kabla sijaanza nilikuwa sijapata madhara yeyote kibaiolojia kwa miaka hiyo ambayo nilikuwa sijaanza...
Sema ndo ivo tena, ukishaanza kula nyama ya binadamu, huwezi kuacha... So its better to marry or get married ili uendelee kuila kiuhalali...
 
Vipi hujawahi kukaa muda mrefu bila kugegeda
 
Asnt mkuu..
Naomba ufafanuzi kipsychologically

  • Mwili wako utakosa faida za kiafya ambazo huletwa ukifanya sex..
  • Utakuwa mtu wa kuvunjika moyo na kukataa tamaa...
  • Utakuwa mtu wa mawazo na mihemuko isiyo na msingi, wewe kitu kidogo tu povu linakutoka...
  • Kwa mwanamke, ukee husinya na kukosa rutuba na hupoteza hali ya kulowa mara nyingi hubakia mkavu kitu ambacho siyo kizuri, kwa mwanaume uwezo wa kudinda vizuri hupotea...
  • Unakuwa ni mrahisi wa kushambuliwa na magonjwa...
  • Uwezo wa kufikiri hupungua...


cc: mahondaw
 
Ukituliza fikra hutapata matatizo yoyote kisaikolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…