Kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete ya uchumba?

Hata mimi nafikiria kufanya maamuzi hayo lakini sijatoa mahali wala sijamvalisha pete ya uchumba
 
Mjínga nn.

Hiyo Pesa ya Mahari, ungempa Mama yako ,siangekuombea Baraka.


Kama wanakuzengua, Komaa wakurudishie Mahali.
 
Kiroho hapo ulishaungana naye kimahusiano. Makabila mengine ukishatoa mahari tayari huyo ni mkeo.

Kumvisha pete huwa ni utambulisho kuwa huyu mwanamke ameshakuwa -booked hivyo unaiambia familia yake wasipokee mwanaume mwingine.

So nashauri mchukue mshenga mkavunje huo muunganiko ili mwanamke awe huru na wewe uwe huru.

Na huwa si ngumu, ni mazungumzo tu halafu wao wanarejesha kiasi kidogo na ile pete kama ishara ya kuvunja kilichofanyika awali.

Na hapo mahusiano yanakuwa yamekufa baina yenu.

Ustaarabu ndio huo, dunia inazunguka na sisis ni Pipo.
 
toasababumalay wewe
Unajiita una hela na umeajiri watu hata kuandika hujui... Huna ustaarabu kabisa mdogo wangu, kila sehemu michango yako huwa ni ya kipuuzi tu! Matusi, kuandika visivyoeleweka na kujiona we ndio wewe

JF ni sehemu nzuri sana ya kutengeneza mahusiano mazuri na watu, kuna watu wengi wa aina mbalimbali ambao watakutoa hapo ulipo kwenye maisha magumu ya ugali na kumbikumbi, angalau na wewe sehemu ukivaa suruali ikukae. Endelea ku-portray upumbavu ulionao hivyohivyo kwenye public alafu utakuja kuona matokeo yake mwisho wa siku.

Kuna mwenzako hivyohivyo alikuwaga anajifanyaga ana hela, yeye tajiri, yeye ndio yeye... Yalimshinda, akafungua nyuzi ya kuomba msamaha na akaweka wazi maisha yake magumu asaidiwe kazi. Endelea kuleta ukatuni kwenye mambo ya maana. 😊
 
Nimekushangaaa zaidi ya mara7000!!!

Yaani umegundua haeleweki kisa machozi uingie naye kwenye ndoa?

Aisee heri nusu Shari kuliko Shari kamili mkuu. Mwache alie ajutie ujinge wake na aambiwe nimeamua kukuacha Kwa sababu ABC sitaweza.

Wanawake wanatuacha hata kama kesho ni harusi yenu anatoroshwa na mwingine!!
 
Madhara yaliyopo ni kwamba UTAROGWAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…