Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

Mwana wa Kaya

New Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini?

Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29.

Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani kushiriki mikutano hii? Tumepata miradi ipi inayotokana na ushiriki wetu?

Je, ni njia ingine ya kutufanye tuache kuchapa kazi nyumbani huku tukienda kuomba kwa wazungu?

Mwenye kujua faida zilizopatikana so far anielimishe
 
Back
Top Bottom