Abdul mndili
Senior Member
- Oct 15, 2016
- 192
- 137
Dizaini walikuwa wanakata watu wasitumie ili wachache wapige hela kimyakimya kwa kutoa tiba hiyoSi tulikuwa tunaambiwa asali na ndimu ukila kwa pia unakufa. Lakini naona saivi imekuwa dawa.
Jaribu kumpa hata Mbuzi akifa basi Nawe utakufa...
Ila hizo zilikuwa imani potovu
Asanten jf cjawah kuckia haya mambo b4Hutengeneza Sumu kali ni sawa na kula fenesi na Pepsi au Coke pia
Mwenye tetesi matokeo darasa la saba 2016 PSLEHabari wakuu..,
Kwa muda mrefu sana labda tokea huko tunakuwa..nimekuwa nikisikia ukila tango na asali pamoja unakufa. ..kwa mwenye utafiti anifahamishe
Mimi nimekula Asali na Tango juzi nimekufa na leo nimekula tena Asali na Tango nimefufuka. Mkuu.@Abdul mndili, Mada kama hii haifai kuwekwa hapa inafaa kuwekwa kwenye jukwaa la joke tangu lini umesikia mtu akila Asali na Tango akafa? umezipata wapi hizi habari? za vijiweni unapoishi huko?Asali ni Asidi Tango ni Alkaline tangu lini Asidi na alkaline vikauwa mtu? Asali ni dawa na Tiba kwa maradhi mengi tu na Tango ni jamii ya Tunda na tiba ya maradhi mengi tu.Tangu lini vyakula hivi vikauwa mtu mkuu? umejifunzia wapi elimu ya uongo kama hii?Unajuwa lugha ya kiingereza kusoma? Soma hapo chini faida ya kutumia Asali na Tango kiafya.Habari wakuu..,
Kwa muda mrefu sana labda tokea huko tunakuwa..nimekuwa nikisikia ukila tango na asali pamoja unakufa. ..kwa mwenye utafiti anifahamishe
Tegea panya!
nashuhudia mi nakula mara nyingi sana na bado napyatila hapa kama kawaidaHahahahahah watu wanaogopa kufanya utafiti wanaogopa kufa.
Watu wanaogopa funununashuhudia mi nakula mara nyingi sana na bado napyatila hapa kama kawaida
HahahahahaaaMimi nimekula Asali na Tango juzi nimekufa na leo nimekula tena Asali na Tango nimefufuka. Mkuu.@Abdul mndili, Mada kama hii haifai kuwekwa hapa inafaa kuwekwa kwenye jukwaa la joke tangu lini umesikia mtu akila Asali na Tango akafa? umezipata wapi hizi habari? za vijiweni unapoishi huko?Asali ni Asidi Tango ni Alkaline tangu lini Asidi na alkaline vikauwa mtu? Asali ni dawa na Tiba kwa maradhi mengi tu na Tango ni jamii ya Tunda na tiba ya maradhi mengi tu.Tangu lini vyakula hivi vikauwa mtu mkuu? umejifunzia wapi elimu ya uongo kama hii?Unajuwa lugha ya kiingereza kusoma? Soma hapo chini faida ya kutumia Asali na Tango kiafya.
Cucumber-Honey Toner
Puree cucumber in a blender. Line a sieve with cheesecloth and set the sieve over a glass bowl or measuring cup. Pour the cucumber puree through the sieve and let it stand for 15 minutes for the juices to drip into the bowl. Pour the clear juice into a clean bottle and add honey. To use, shake the bottle and saturate a cotton pad with the lotion. Sweep over face, neck and chest morning and night,
Ingredients
Directions
- 1 medium - cucumber, peeled and cut into pieces
- 2 teaspoons - honey
Puree cucumber in a blender. Line a sieve with cheesecloth and set the sieve over a glass bowl or measuring cup. Pour the cucumber puree through the sieve and let it stand for 15 minutes for the juices to drip into the bowl. Pour the clear juice into a clean bottle and add honey. To use, shake the bottle and saturate a cotton pad with the lotion. Sweep over face, neck and chest morning and night, and let it air dry (about 3 to 4 minutes). Store covered in the refrigerator for up to 1 week. Makes about 1/2 cup.
View attachment 424803
Alafu panya wa watu akifa je? ?Tegea panya!
Nenda jukwaa la elimu mkuuMwenye tetesi matokeo darasa la saba 2016 PSLE