Kuna mahusiano gani kati ya asali na tango?

Abdul mndili

Senior Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
192
Reaction score
137
Habari wakuu..,

Kwa muda mrefu sana labda tokea huko tunakuwa..nimekuwa nikisikia ukila tango na asali pamoja unakufa. ..kwa mwenye utafiti anifahamishe
 
Hizo ni mila au kuna chemical rection hapo inayosababisha mtu afe kwa kula asali na Tango?
 
Hutengeneza Sumu kali ni sawa na kula fenesi na Pepsi au Coke pia
 
mmmmmh mi naona ni maneno mbovu mbovu ya hayati Mr. ebbo
 
Mm nahisi wazungu wakijua kitu fulani ni dawa na watu wakinywa watapona watafanya advertisment ya nguvu kusema ni sumu,mm nilishawah kunywa huo mchanganyiko na ckudhurika hata kidogo na mwili wangu ulikuwa mwepesi tu na kujisikia mchangamfu,
Ni kama malaria hakuna dawa inayotibu kama quloroquine lkn hiwezi kuandika kupewa hospital ni mpaka malaria yapande kichwani ...mi nafkr wataalam wengi wangetufanyia utaalam na kutupa mrejesho
 
Habari wakuu..,

Kwa muda mrefu sana labda tokea huko tunakuwa..nimekuwa nikisikia ukila tango na asali pamoja unakufa. ..kwa mwenye utafiti anifahamishe
Mimi nimekula Asali na Tango juzi nimekufa na leo nimekula tena Asali na Tango nimefufuka. Mkuu.@Abdul mndili, Mada kama hii haifai kuwekwa hapa inafaa kuwekwa kwenye jukwaa la joke tangu lini umesikia mtu akila Asali na Tango akafa? umezipata wapi hizi habari? za vijiweni unapoishi huko?Asali ni Asidi Tango ni Alkaline tangu lini Asidi na alkaline vikauwa mtu? Asali ni dawa na Tiba kwa maradhi mengi tu na Tango ni jamii ya Tunda na tiba ya maradhi mengi tu.Tangu lini vyakula hivi vikauwa mtu mkuu? umejifunzia wapi elimu ya uongo kama hii?Unajuwa lugha ya kiingereza kusoma? Soma hapo chini faida ya kutumia Asali na Tango kiafya.

Cucumber-Honey Toner

Puree cucumber in a blender. Line a sieve with cheesecloth and set the sieve over a glass bowl or measuring cup. Pour the cucumber puree through the sieve and let it stand for 15 minutes for the juices to drip into the bowl. Pour the clear juice into a clean bottle and add honey. To use, shake the bottle and saturate a cotton pad with the lotion. Sweep over face, neck and chest morning and night,

Ingredients
  • 1 medium - cucumber, peeled and cut into pieces
  • 2 teaspoons - honey
Directions
Puree cucumber in a blender. Line a sieve with cheesecloth and set the sieve over a glass bowl or measuring cup. Pour the cucumber puree through the sieve and let it stand for 15 minutes for the juices to drip into the bowl. Pour the clear juice into a clean bottle and add honey. To use, shake the bottle and saturate a cotton pad with the lotion. Sweep over face, neck and chest morning and night, and let it air dry (about 3 to 4 minutes). Store covered in the refrigerator for up to 1 week. Makes about 1/2 cup.

multani-mitti-honey-cucumber-face.jpg
 
View attachment 424803
Hahahahahaaa

Asante sana mkuu...now nimepata picha.kamili
 
Back
Top Bottom