Abdul mndili
Senior Member
- Oct 15, 2016
- 192
- 137
- Thread starter
- #21
Mbuzi tena mkuu? ?Jaribu kumpa hata Mbuzi akifa basi Nawe utakufa...
Ila hizo zilikuwa imani potovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi tena mkuu? ?Jaribu kumpa hata Mbuzi akifa basi Nawe utakufa...
Ila hizo zilikuwa imani potovu
Ndio nauliza mkuuHizo ni mila au kuna chemical rection hapo inayosababisha mtu afe kwa kula asali na Tango?
Wee kufa mchezoo[emoji38][emoji38][emoji23]Hahahahahah watu wanaogopa kufanya utafiti wanaogopa kufa.
Ukitaka kutumia Asali na Tango fanya hivi chukuwa Asali kijiko 1 tia ndani ya maji ya uvugvugu na kisha tia ndani yake kijiko 1 cha unga wa mdalasini koroga vizuri kisha uwe unakunywa hiyo pamoja na tango kila siku asubuhi haya nimekupa dawa ya nguvu za kiume hiyo tumia kila siku utakuwa na nguvu nyingi za kiume kitandani utamfikisha mkeo au mpenzi wako kwenye kilele cha mlima wa kilimanjaro...............🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵Hahahahahaaa
Asante sana mkuu...now nimepata picha.kamili
Hutengeneza Sumu kali ni sawa na kula fenesi na Pepsi au Coke pia