Kuna mahusiano gani kati ya asali na tango?

Kuna mahusiano gani kati ya asali na tango?

Hahahahahaaa

Asante sana mkuu...now nimepata picha.kamili
Ukitaka kutumia Asali na Tango fanya hivi chukuwa Asali kijiko 1 tia ndani ya maji ya uvugvugu na kisha tia ndani yake kijiko 1 cha unga wa mdalasini koroga vizuri kisha uwe unakunywa hiyo pamoja na tango kila siku asubuhi haya nimekupa dawa ya nguvu za kiume hiyo tumia kila siku utakuwa na nguvu nyingi za kiume kitandani utamfikisha mkeo au mpenzi wako kwenye kilele cha mlima wa kilimanjaro...............🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵
 
Hutengeneza Sumu kali ni sawa na kula fenesi na Pepsi au Coke pia

Njaa mbaya sana, tulikuwa mtu mbili.
Siku moja tumeamka na njaa hatuna hata mia moja, bahati nzuri kulikuwa na fenesi kubwa kupita maelezo, siunajua Moro mji wenye mambo mengi matamu.

Aisee tulikura lile fenesi kuanzia saa mbili asubuh mpaka saa nane mchana tukalimaliza. Ebwana fenesi ni noma sana.

Sitasahau daima huo mlo, matumbo yalijaa mpaka machozi kwa pamoja yakaanza kutoka kama utani hivi, ikawa kweli. Kiu cha maji kilikuwa kikubwa wakati tumbo limejaa ndii ndiiii.. tuliangaika sana na kwa mateso makubwa, siku nzima.

Siku nne nzima binafsi sikuitaji chakula zaidi ya chai asubuh na maji mchana na usiku.

Fenesi noma ila tamu sana.
 
Back
Top Bottom