Hutengeneza Sumu kali ni sawa na kula fenesi na Pepsi au Coke pia
Njaa mbaya sana, tulikuwa mtu mbili.
Siku moja tumeamka na njaa hatuna hata mia moja, bahati nzuri kulikuwa na fenesi kubwa kupita maelezo, siunajua Moro mji wenye mambo mengi matamu.
Aisee tulikura lile fenesi kuanzia saa mbili asubuh mpaka saa nane mchana tukalimaliza. Ebwana fenesi ni noma sana.
Sitasahau daima huo mlo, matumbo yalijaa mpaka machozi kwa pamoja yakaanza kutoka kama utani hivi, ikawa kweli. Kiu cha maji kilikuwa kikubwa wakati tumbo limejaa ndii ndiiii.. tuliangaika sana na kwa mateso makubwa, siku nzima.
Siku nne nzima binafsi sikuitaji chakula zaidi ya chai asubuh na maji mchana na usiku.
Fenesi noma ila tamu sana.