Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande
lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na
Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema.
Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande.
👉Niingie kwenye mada kumekuwa na Kasumba kubwa sana juu ya neno "Mafanikio"
Leo mtu mwenye masters am phd asipokuwa na maisha fulani aonekana hajafanikiwa?
👉Imefikia kiwango ambacho watu wasiosoma wenye fedha
wanawatukana wasomi hivo kuidogoisha elimu yetu ya Tanzania
👉Kwanini mafanikio ya kifedha yahusishwa na kiwango cha elimu mtu alichonacho?
👉Mimi binafsi kwangu mafanikio yamegawanyika Katika makundi
Manne (four aspects)
1.politically and legal
2.Economically
3.Social
4.Technologically
Nyongeza ni Consultancy na diplomatic success(japo hii inaingia kwenye social na pilitical)
Mimi kwangu kumiliki aspect yoyote moja wapo Kati ya hizo ni "mafanikio"
Kuna watu mtaani kwenu hawana hela ila wanapendwa na kila mmoja wenu je hayo si mafanikio?
👉Politcaly nitamtaja nyerere na mkapa, Mtakumbuka mstaafu Huyu Paul Kimiti(former) agriculture minister huyu mzee alistaafu kwa hiari Bila kushurutishwa mwaka 2010' amekaa kwenye siasa toka 1970-2010 je hayo sio mafanikio na alileta impact kubwa kwenye kilimo alibobea pia kwa kielimu
👉Kuna Watu wamefanikiwa kwenye social issues mfano mzee Majuto, Diamond, Samatta, Ruge Mutahaba, Bi Kidude n. K(hapa sizungumzii fedha)
👉Kuna wamefanikiwa kwenye economic issues (MO, Rostam, Mulokozi n. K)
👉Technologically (mimi kwangu nitamtaja RIP Magufuli aliweza sana huo upande sitaki matusi kwenye hili) lakini pia GSM naweza kuwasifu kwenye swala la logistics (hiyo yote ni technology)
Sasa why mafanikio yanakuwa generalized na kitu kimoja tu pesa??
👉Lengo la uzi ni kutaka kuwaambia wale wote wanaopondea wasomi kuwa hawana mafanikio ya kifedha muwe mnatoa maoni/kwa hoja. Sio hisia (if education is priceless try ignorance)