Inategemea wewe ni nani....Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako matendo ya duniani yanaendelea kuwa na maana.
Sasa hebu tufikiri.
Kama tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu, je, kuna sababu ya kujinyima sana? Je, tuishi kwa kutumia na kufurahia mali zetu kadiri tuwezavyo kwa sababu baada ya kifo hakuna tena nafasi nyingine?
Lakini kama kweli kuna maisha baada ya kifo, je, si busara kuishi kwa tahadhari? Tuilinde miili yetu, tusiiharibu kwa makusudi, na tufe tukiwa na nguvu na afya kadiri inavyowezekana, kwa imani kwamba huenda kuna safari nyingine inayotuhitaji baada ya maisha haya.
Wewe unaamini nini? Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
>>>hiyo ni kwa kufupi>>>>>>>
Usiku unapolala, zile ndoto unazoziota, je? ni hiari yako mwenyewe????Ukifa umekufa hakuna cha kiama wala paradiso hawa wachungaji na mashehe wanaturisha matango pori tuu
Ile ni reaction tu ya ubongo kwa matukio tunayopitia pamoja na kumbukumbu halafu tofautisha kuota ndoto na kufa..kufa maana yake kwishnei hutoota ndoto hutohisi njaa hutohisi nyege halafu kuhusu ndoto sio kitu cha ajabu ukumbuke hata mahindi nayo yanaota.Usiku unapolala, zile ndoto unazoziota, je? ni hiari yako mwenyewe????
Aliyekudanganya ni nani?Hakuna yeyote anayeweza kuthibitisha non existence kwa uzoefu kwa sababau uzoefu tulio nao sisi ni wa kuwepo tu basi.
Pongezi kwako kwa ufafanuzi mzuriMi nadhani baada ya kufa kila kitu kinakuwa kimeishia hapo. Hata kama kutakuwa na kitu kinaendelea baada ya kifo kinakuwa hakina uelewa wako uliyekufa maana unakuwa hautambui chochote.
Huenda pia unapokufa unahamishwa kabisa katika dunia hii na kupelekwa kwenye mojawapo ya vitu vilivyoko angani iwe nyota,sayari,galaxy, metroids nk na kuanzisha maisha mengine ukiwa katika hali nyingine kabisa ila likiumbe ambalo linaweza kuishi kwa namna nyingine inawekana ukaishi kwa Kula vumbi au vyovyote vile ambavyo nature itaamua juu yako.
Maana huenda hata huko kwenye sayari za mbali au kwenye universe ambazo tunaamini hakuna viumbe huenda vipo ila vinaishi katika form nyingine kabisa, haiwezekani Mungu au nature iwe na likitu kama sayari ya Jupiter ambayo ni kubwa karibu mara 130 au zaidi halafu kusiwe na chochote kinachokaa huko tatizo sisi binadamu tunafikiri ili uishi ni lazima ule chakula na kunywa maji tu huenda Kuna maisha yanayowezesha kuishi hata kwenye joto la centigrade 5000 na ukaishi bila shida.
Pia kwenye maisha mi naamini hatufi tu accidentally bali kuna viumbe vinavyotuvuna bila sisi kujua ni kama ambavyo wewe unaweza kumpangia mbuzi huyu tutamla kesho andaeni visu na huyo mbuzi anasikia na wala hawi na wasiwasi wowote juu ya ulichompangia.
Muhimu nadhani maisha ni hayahaya tu ukiwa vizuri economically Kula maisha na wenzangu na Mimi huenda maisha yako mazuri yamepangwa kwenye sayari nyingine huko maana kama unaambiwa galaxy yetu tu Ina terrestrial bodies zaidi ya bilioni moja na Kuna galaxy zingine zaidi ya billion moja kweli Bado unaamini Kuna kuchomwa moto baadaye sidhani kwa kweli. Haya majanga yanayotokea ni katika kuji balance tu kwa dunia yetu na wala huenda hayana uhusiano na dhambi yoyote
Hebu uwe unatumia akili, umeambiwa humu Jf ndio kuna watu waliowahi kufufuka?Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako matendo ya duniani yanaendelea kuwa na maana.
Sasa hebu tufikiri.
Kama tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu, je, kuna sababu ya kujinyima sana? Je, tuishi kwa kutumia na kufurahia mali zetu kadiri tuwezavyo kwa sababu baada ya kifo hakuna tena nafasi nyingine?
Lakini kama kweli kuna maisha baada ya kifo, je, si busara kuishi kwa tahadhari? Tuilinde miili yetu, tusiiharibu kwa makusudi, na tufe tukiwa na nguvu na afya kadiri inavyowezekana, kwa imani kwamba huenda kuna safari nyingine inayotuhitaji baada ya maisha haya.
Wewe unaamini nini? Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
Kama ulivyo wewe 😂😂😂😂Humu wajuaji ni wengi sana.
njoo inboxKama ulivyo wewe 😂😂😂😂
Badala ya kuchangia mada unawaletea ujuaji wajuaji kwa kujifanya mjuaji zaidi ya wanavyojijua
Mwaga maujuaji yako hapa mkuu tupate madini🙏njoo inbox
Kuna maisha baada ya kifo. Maisha ya funza na wadudu wengine. Maisha ya mimea. Maishabya vidudu.Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako matendo ya duniani yanaendelea kuwa na maana.
Sasa hebu tufikiri.
Kama tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu, je, kuna sababu ya kujinyima sana? Je, tuishi kwa kutumia na kufurahia mali zetu kadiri tuwezavyo kwa sababu baada ya kifo hakuna tena nafasi nyingine?
Lakini kama kweli kuna maisha baada ya kifo, je, si busara kuishi kwa tahadhari? Tuilinde miili yetu, tusiiharibu kwa makusudi, na tufe tukiwa na nguvu na afya kadiri inavyowezekana, kwa imani kwamba huenda kuna safari nyingine inayotuhitaji baada ya maisha haya.
Wewe unaamini nini? Je, kifo ni mwisho wa kila kitu, au ni mwanzo wa maisha mengine? Na kwa nini unaamini hivyo?
Wewe unadhani ni wapi waliowahi kufufuka wapo ili nielekeze mjadala huko?Hebu uwe unatumia akili, umeambiwa humu Jf ndio kuna watu waliowahi kufufuka?
Kabla ya sisi kuwa hapa je tulikuwa wapi huko?Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?