MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Kuna kipindi fulani kama binadamu unakumbuka maisha fulani ulowahi yapitia yawe mazuri au mabaya !
Binafsi kuna maisha fulan nayamiss, sio kusema sipendezwi na maisha ninayoishi sasa nimeridhika kwa 80% hivi !
lakini kuna maisha ya kuhang out na washikaji,kula bata (nikimaanisha ), mnaweza hama viwanja kama vitatu kwa weekend moja ,yale maisha ya kigheto gheto fulani , yaani sijui nisemeje ! maisha ya bila majukumu, yaan ni wewe tu hakuna anayekutegemea nyuma yako,yaan urudi gheto au usirudi,
Kwa wale wapenzi wa miziki kwenda club na huagi mtu ! tofauti na maisha ya sasa hiv kasoro kupumua (breathing) tu ndo huiombi ruhusa ! maisha ya sasa hv kusafiri dec uanze kuomba ruhusa toka septemberrrrrrrrrr! had gatepass ikatoke ushukuru tu !
sijui wale wanaoishi na wenza wao wanamiss kama mie au ?
Hahahaha natamani niseme SERIKALI ILIANGALIE HILI KWA MAPANA ZAIDI !hehehehehe
Je wewe umeyakumbuka maisha gani ulowahi yapitia huko nyuma?
cc demi ,Neybright !
[HASHTAG]#mbitiyaza[/HASHTAG]