Kuna maisha fulani nayamiss

Kuna maisha fulani nayamiss

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
14,947
Reaction score
26,074
Kuna kipindi fulani kama binadamu unakumbuka maisha fulani ulowahi yapitia yawe mazuri au mabaya !

Binafsi kuna maisha fulan nayamiss, sio kusema sipendezwi na maisha ninayoishi sasa nimeridhika kwa 80% hivi !

lakini kuna maisha ya kuhang out na washikaji,kula bata (nikimaanisha ), mnaweza hama viwanja kama vitatu kwa weekend moja ,yale maisha ya kigheto gheto fulani , yaani sijui nisemeje ! maisha ya bila majukumu, yaan ni wewe tu hakuna anayekutegemea nyuma yako,yaan urudi gheto au usirudi,

Kwa wale wapenzi wa miziki kwenda club na huagi mtu ! tofauti na maisha ya sasa hiv kasoro kupumua (breathing) tu ndo huiombi ruhusa ! maisha ya sasa hv kusafiri dec uanze kuomba ruhusa toka septemberrrrrrrrrr! had gatepass ikatoke ushukuru tu !
sijui wale wanaoishi na wenza wao wanamiss kama mie au ?

Hahahaha natamani niseme SERIKALI ILIANGALIE HILI KWA MAPANA ZAIDI !hehehehehe

Je wewe umeyakumbuka maisha gani ulowahi yapitia huko nyuma?

cc demi ,Neybright !

[HASHTAG]#mbitiyaza[/HASHTAG]
 
Kuna kipindi fulani kama binadamu unakumbuka maisha fulani ulowahi yapitia yawe mazuri au mabaya !
Binafsi kuna maisha fulan nayamiss, sio kusema sipendezwi na maisha ninayoishi sasa nimeridhika kwa 80% hivi !
lakini kuna maisha ya kuhang out na washikaji,kula bata (nikimaanisha ), mnaweza hama viwanja kama vitatu kwa weekend moja ,yale maisha ya kigheto gheto fulani , yaani sijui nisemeje ! maisha ya bila majukumu, yaan ni wewe tu hakuna anayekutegemea nyuma yako,yaan urudi gheto au usirudi,
Kwa wale wapenzi wa miziki kwenda club na huagi mtu ! tofauti na maisha ya sasa hiv kasoro kupumua (breathing) tu ndo huiombi ruhusa ! maisha ya sasa hv kusafiri dec uanze kuomba ruhusa toka septemberrrrrrrrrr! had gatepass ikatoke ushukuru tu !
sijui wale wanaoishi na wenza wao wanamiss kama mie au ?
hahahaha natamani niseme SERIKALI ILIANGALIE HILI KWA MAPANA ZAIDI !hehehehehe

je wewe umeyakumbuka maisha gani ulowahi yapitia huko nyuma?

cc demi ,Neybright !

[HASHTAG]#mbitiyaza[/HASHTAG]
Eb kitulize uko
 
Umemiss show kali za kibabe huku wote mkiwa high eh after club? Now mshkaj anapiga dakika 3 unaskia kroooooh krooooooh kroooooooh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

behave basi! hayo umeyaongea wewe !serious usiniharibie uzi jozey
 
Nisikuelewe tena?
sasa mbona unakuja kuniogopesha mie nahuku ni maisha tu nimeyamiss !
maisha ya kupika tambi na sausage unashushia ka fanta baridiiii unalala ! sio sasa bwana
 
Sema tu unammiss Baba Riz kwa kuwa Baba Jesca kabana mpaka maembe yamekataa.

ahahha sasa hivi maskio yangu hayataki kbs kusikia upuuz wa vyama vya siasa jaman !eish wamesha nichosha jaman !nasubiri tu kusikia mama samia kahamia ACT !arghhhhhhh !
maisha yamebana mno jaman !
 
Back
Top Bottom