Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kwendo club mrudi asbh SAA 11 alfajiri.Mlale mpk SAA 6 au 7 badala ya chai unatafuta lunch. Uangalie movie mpk jioni. Uanze mkoto mwingine fuuul mishe mishe.Mpk kitabu kikija kubana mmeshachoka.
Kuna siku tulienda bendi bwana mmoja wetu alilewa alafu mmbishi hataki kurudi tumempandisha bajaji analia na kulalamika pombe yake inaisha kwa upepo.
Kuna siku tulienda bendi bwana mmoja wetu alilewa alafu mmbishi hataki kurudi tumempandisha bajaji analia na kulalamika pombe yake inaisha kwa upepo.