Kuna maisha fulani nayamiss

Yale maisha mnafungua chuo unatoka home na kitita, unakutana na boom plus hela ya stationary halafu unadaka first yr watatu hivi.

hahahah ! maisha ya chuo mazuri sana aisee !
 
ahahha sasa hivi maskio yangu hayataki kbs kusikia upuuz wa vyama vya siasa jaman !eish wamesha nichosha jaman !nasubiri tu kusikia mama samia kahamia ACT !arghhhhhhh !
maisha yamebana mno jaman !
Maisha kubana ni jambo la siasa pia ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…