Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha kubana ni jambo la siasa pia ujue.ahahha sasa hivi maskio yangu hayataki kbs kusikia upuuz wa vyama vya siasa jaman !eish wamesha nichosha jaman !nasubiri tu kusikia mama samia kahamia ACT !arghhhhhhh !
maisha yamebana mno jaman !
Asubuhi umeamka na kahangover hapo ni kujibebisha kwa bby siku nzima. Bby akitoka tu safari swimming na bata linaanza tena.hahahahaa woyoooo !asbh husimami hukai !lol
Sema kuomba ruhusa ni mtihani. Pole sana.non stop !
hahahahaha nimecheka sana !dah[/QU
Pole sana kipenz
We mtoto acha kudandia nyanya zako ni saizi ya Babu zakoPole sana kipenz
Anhaaa.... kumbe...!Hatari jamani game ya afta club.
Maisha lazima yasonge mbele... na haya unayoyaishi sasa utakuja kuyamiss big timesasa mbona unakuja kuniogopesha mie nahuku ni maisha tu nimeyamiss !
maisha ya kupika tambi na sausage unashushia ka fanta baridiiii unalala ! sio sasa bwana
Eeeh.Anhaaa.... kumbe...!
Basi sawa....Eeeh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]never bwana we!