Kuna maisha fulani nayamiss

Mi nimemiss hali kuwa free nilikuwa simuwazii mtu najiwazia mwenyewe leo nina wategemezi mpaka kichwa kinauma

atleast wewe pekeako ndo umenielewa !wengi wameipelekea kwenye UKATA
 
Nimemiss maisha ya kucheza kibaba na mama...kombolela...kuvheza mpira uwanja wa ushirika.

Nimemiss kwenda kuiba mayai kwenye mabanda ya kuku ushirika.
 
atleast wewe pekeako ndo umenielewa !wengi wameipelekea kwenye UKATA
Asante nimejua kuwa kuwa kuna commitment imeingia kama hatua za ukuaji wa binadamu zimekufanya usiwe huru kama zamani si ndio
 
Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
 
Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu

ahahahha hilo neno' kuhongwa ' nalionaga chachuuu !heeehe eti kubet nahuku kila siku naskia unakosa !ptu ! zaman mie lunch ilikua unajikuta umepewa kamsimbazi na boss ukale !........... heheeeh magu maniner sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
Yani mtu kukupa laki 3 ya vocha kama anatoa buku. Siku hizi vyuma vimekaza haswaa na kila navyochek sion dalili ya vyenyewe kulegea.
 
Yani mtu kukupa laki 3 ya vocha kama anatoa buku. Siku hizi vyuma vimekaza haswaa na kila navyochek sion dalili ya vyenyewe kulegea.
Hela za wizi/rushwa hamna sasa hivi....wenye hela za halali kutoa hovyo ni ndoto!
 
Maisha umerudi umechoka unajipikia kachai u nalala,,,

Sa ivi sasa,, mtu anarudi saa tano usiku anakuta wali nyama,,anasema nataka ugali,,daaah ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…