Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwa sasa kipi kinakufunga mama?fafanua mkuu ! hizo ni stry za kwenye bible nadhan
Asante nimejua kuwa kuwa kuna commitment imeingia kama hatua za ukuaji wa binadamu zimekufanya usiwe huru kama zamani si ndioatleast wewe pekeako ndo umenielewa !wengi wameipelekea kwenye UKATA
Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
Yani mtu kukupa laki 3 ya vocha kama anatoa buku. Siku hizi vyuma vimekaza haswaa na kila navyochek sion dalili ya vyenyewe kulegea.Namiss maisha ya kuhongwa jomoni
Enzi za JK awamu hii vyuma vimekaza chaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibet tu
Hela za wizi/rushwa hamna sasa hivi....wenye hela za halali kutoa hovyo ni ndoto!Yani mtu kukupa laki 3 ya vocha kama anatoa buku. Siku hizi vyuma vimekaza haswaa na kila navyochek sion dalili ya vyenyewe kulegea.