Kuna maisha fulani nayamiss

Hela za wizi/rushwa hamna sasa hivi....wenye hela za halali kutoa hovyo ni ndoto!
Wanatoa bado sema wanatoa mara chache chache. Na bado wapo wanaotoa mamilion pia
 
Yote ayo unaweza kuyafanya nikujipanga tu na mwenza wako pesa ndio kilakitu
 
umemis maisha ya kihuni....hayo ndio utaishia kuyasikia kwa wenzio tu kwa sasa kitulize kwa mumeo
 
Kila zama na wakati wake..ukizeeka ujana haukurudi tena. Ulifaidi sana, imetosha...
 
Iko wazi una MAKUBWA YA MAISHA YAKO

MUME MNYWA GONGO

MAMA MKWE WAKO UKAMTUKANA HUMU

KUZALISHWA MAPEMA

NINAPATA HURUMA KWAKO NIKIONA NYUZI ZAKO..POLE SANA BINTI TATIZO ULIKITEMBEZA MAPEMA SANA BILA AKILI..ENDELEA KUJUTA NA KULIA MAANA UMEISHA OZA
AAA
 
Maisha umerudi umechoka unajipikia kachai u nalala,,,

Sa ivi sasa,, mtu anarudi saa tano usiku anakuta wali nyama,,anasema nataka ugali,,daaah ,,

wa 2 kunielewa
 
raha ya maisha ni pamoja na kuwa na mtu anakuchunga

like upo wap,unafanyaje,umekula,mbna unaongea kwa wasiwas,umeoga,umevaa chupi ya rangi...

wewe unataka uishi km paka anaondoka bila taarifa anarud bila taarifa😎😎😎😎
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huwa nikikaa pekeangu kuna muda huwa hadi nacheka mwenyewe aisee,yale maisha yaleee aaah hayatarudi teenaa jamaniii hata yakirudi si kama yale ya mwanzo aiseee,.ni mambo mazuuuuuriiii na mabaya pia sasa yamebaki kuwa "MEMORY" nimejifunza mengi,.mazuri niko nayo mabaya nilisha ya zika.
 

kwakweli hata mie huwa nacheka sanaaa!nina rafiki yangu tuliekula naye ujana jaman ukituona sasa hv ni wamama tayri mwenzangu nyota ya kijani katupa kuleee !anazaa kila mwaka !ila akijimpimp hutaamni ana 4kids !yaan huwa tunacheka mno mno ! unaweza kulala kwa shost ako asbh ukaamka ukavaa nguo zake ukajisepesha fresh tu !utakunywa chai au supu hotelini uvivu wa kujipikia !sasa hv ht ukiwa town kwanza utawafikiria wanao mara mume,mara ununue matunda ya juice ,mara ununue dawa za vifua watotto !heheheh wakat ule ni mambo juu kwa juu !dadeq
 
Hahahaha ila asikwambie MTU buanaa kila kitu na wakati wake,wakati wa ujana ukipita halafu hujafanya chochote cha kusimulia aiseee unakuwa hujajitendea haki kabisaaaa...
 
Hahahaha ila asikwambie MTU buanaa kila kitu na wakati wake,wakati wa ujana ukipita halafu hujafanya chochote cha kusimulia aiseee unakuwa hujajitendea haki kabisaaaa...
dhambi sana !pia masuala ya kuruka stage sio kbs !yatakuja kusumbua uzeen !
 
Ila yale maisha yalikuwa matam sana tatizo wallet ilikuwa ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…