Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wanatoa bado sema wanatoa mara chache chache. Na bado wapo wanaotoa mamilion piaHela za wizi/rushwa hamna sasa hivi....wenye hela za halali kutoa hovyo ni ndoto!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatoa bado sema wanatoa mara chache chache. Na bado wapo wanaotoa mamilion piaHela za wizi/rushwa hamna sasa hivi....wenye hela za halali kutoa hovyo ni ndoto!
Yaani anatoaje milioni?Wanatoa bado sema wanatoa mara chache chache. Na bado wapo wanaotoa mamilion pia
Mi mwenyewe nashangaa ila wanatoa tena kuna rafiki angu last week kapewa 4M akafanye shopping ya vitu vya ndani.Yaani anatoaje milioni?
AAAIko wazi una MAKUBWA YA MAISHA YAKO
MUME MNYWA GONGO
MAMA MKWE WAKO UKAMTUKANA HUMU
KUZALISHWA MAPEMA
NINAPATA HURUMA KWAKO NIKIONA NYUZI ZAKO..POLE SANA BINTI TATIZO ULIKITEMBEZA MAPEMA SANA BILA AKILI..ENDELEA KUJUTA NA KULIA MAANA UMEISHA OZA
MmmhMaisha umerudi umechoka unajipikia kachai u nalala,,,
Sa ivi sasa,, mtu anarudi saa tano usiku anakuta wali nyama,,anasema nataka ugali,,daaah ,,
Ndo mlivo mkioa,,mnasifaaa km niniMmmh
[emoji1] [emoji1] [emoji1]raha ya maisha ni pamoja na kuwa na mtu anakuchunga
like upo wap,unafanyaje,umekula,mbna unaongea kwa wasiwas,umeoga,umevaa chupi ya rangi...
wewe unataka uishi km paka anaondoka bila taarifa anarud bila taarifa😎😎😎😎
Huwa nikikaa pekeangu kuna muda huwa hadi nacheka mwenyewe aisee,yale maisha yaleee aaah hayatarudi teenaa jamaniii hata yakirudi si kama yale ya mwanzo aiseee,.ni mambo mazuuuuuriiii na mabaya pia sasa yamebaki kuwa "MEMORY" nimejifunza mengi,.mazuri niko nayo mabaya nilisha ya zika.
Hahahaha ila asikwambie MTU buanaa kila kitu na wakati wake,wakati wa ujana ukipita halafu hujafanya chochote cha kusimulia aiseee unakuwa hujajitendea haki kabisaaaa...kwakweli hata mie huwa nacheka sanaaa!nina rafiki yangu tuliekula naye ujana jaman ukituona sasa hv ni wamama tayri mwenzangu nyota ya kijani katupa kuleee !anazaa kila mwaka !ila akijimpimp hutaamni ana 4kids !yaan huwa tunacheka mno mno ! unaweza kulala kwa shost ako asbh ukaamka ukavaa nguo zake ukajisepesha fresh tu !utakunywa chai au supu hotelini uvivu wa kujipikia !sasa hv ht ukiwa town kwanza utawafikiria wanao mara mume,mara ununue matunda ya juice ,mara ununue dawa za vifua watotto !heheheh wakat ule ni mambo juu kwa juu !dadeq
dhambi sana !pia masuala ya kuruka stage sio kbs !yatakuja kusumbua uzeen !Hahahaha ila asikwambie MTU buanaa kila kitu na wakati wake,wakati wa ujana ukipita halafu hujafanya chochote cha kusimulia aiseee unakuwa hujajitendea haki kabisaaaa...