Kuna mambo haya....mawili

Kuna mambo haya....mawili

Ukikuta kibamia haina shida
Lakini ukikuta gegedo la maana
Kuna mambo haya mawili
Akufikishe kilelen au akupe mimba
Akimfikisha kileleni haina shida
Lakini akimpa mimba
Kuna mambo haya mawili
Akubari kuwa yake au atoke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
2020 kutakuwa na mambo haya...mawili
Urudie kumchagua jpm au uchague upinzani,
Ukichagua upinzani haina shida,

Ukimchagua jpm kuna mambo haya...mawili
Uendelee kuisoma namba na usimpangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiperuzi kama guest kuna mambo haya....mawili
Usivutiwe kujiunga tena jf au ukavutiwa kujiunga tena
Usipovutiwa haina shida,
Ukivutiwa tena kuna mambo haya mawili
Ukutane na ban nyingine au [HASHTAG]#Faizafoxy[/HASHTAG] akurekebishe lugha
Ukikutana na ban nyingine haina shida
Lakini faizafoxy akikurekebisha lugha ujue kuna mambo haya mawili
Akurekebishe lugha kawaida kwasababu muislam mwenzake au atakurekebisha lugha kwa maneno ya shombo "shule ulienda kusomea ujinga"
 
Ahaa sasa tunaendelea....Usipofikishwa kileleni kuna mawili,Utafuta mchepuko au Utoe 071........na ukitoa ile uache au ujenge bwawa lingine la kusini!
 
Ukikutana na ban nyingine haina shida
Lakini faizafoxy akikurekebisha lugha ujue kuna mambo haya mawili
Akurekebishe lugha kawaida kwasababu muislam mwenzake au atakulekebisha lugha kwa maneno ya shombo "shule ulienda kusomea ujinga"
Akikurekebisha kwq sababu ya muislamu mwenzie haina shida,
Ila akikwambia shule ulienda kusomea ujinga kuna mambo haya....mawili
Umeteleza kuandika au kweli utakua mkoromije
 
Ahaa sasa tunaendelea....Usipofikishwa kileleni kuna mawili,Utafuta mchepuko au Utoe 071........na ukitoa ile uache au ujenge bwawa lingine la kusini!
Ukitafuta mchepuko hamn shida ila ukitoa 071 kun mambo mawil hilo bwawa utakalojenga utanyweshea mifugo
 
Akikurekebisha kwq sababu ya muislamu mwenzie haina shida,
Ila akikwambia shule ulienda kusomea ujinga kuna mambo haya....mawili
Umeteleza kuandika au kweli utakua mkoromije
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukirekebisha tabia haina shida usiporekebisha kuna mambo haya....mawili

kuendelea kula ban au kuichukia jf ukiendelea kula ban haina shida ila ukiichukia jf kuna mambo haya...mawili
ukiichukia JF kuna mambo haya...mawili; Kuacha kabisa kuperuzi au kuperuzi kama 'guest'. Ukiacha kabisa kuperuzi haina shida, ila ukiperuzi kama guest kuna mambo haya...mawili
Akikurekebisha kwq sababu ya muislamu mwenzie haina shida,
Ila akikwambia shule ulienda kusomea ujinga kuna mambo haya....mawili
Umeteleza kuandika au kweli utakua mkoromije
kuteleza kuandika haina shida, ila ukiwa mkoromije kuna mambo...haya mawili, kuendelea kuukataa ukweli kwamba wewe siyo yule unayetaka watu waamini ndiye au kuthibitisha kwa kuonyesha cheti
 
ukiichukia JF kuna mambo haya...mawili; Kuacha kabisa kuperuzi au kuperuzi kama 'guest'. Ukiacha kabisa kuperuzi haina shida, ila ukiperuzi kama guest kuna mambo haya...mawili

kuteleza kuandika haina shida, ila ukiwa mkoromije kuna mambo...haya mawili, kuendelea kuukataa ukweli kwamba wewe siyo yule unayetaka watu waamini ndiye au kuthibitisha kwa kuonyesha cheti
Watu wakiamini haina shida,
Ila ukionyesha cheti kuna mambo haya....mawili
Huenda ulifoji cheti au kikawa ni chako

Kikiwa chako haina shida,
Ila kama ulifoji kuna mambo haya....mawili
Kwenda jela miaka saba na kumuacha mke uraiani
 
Kwenda jela haina shida
Ila kumuacha mke uraiani kuna mambo mawili akusubiri au aolewe na mtu mwingine
 
Haya, in life there are two things involved, it's either you're in the military or you're a civilian.

If you're a civilian you are safe, if you are in the military there are two things involved; it's either you are the officer or in the front line.

If you are in the front line there are two things involved; it's either you kill someone or you get killed.

If you kill someone you are safe, if you get killed there are two things involved; it's either you rot on the surface or you get burried.

If you rot on the surface you are safe, if you get burried there are two things involved; it's either you decompose to form oil or decompose to form manure.

If you decompose to form oil you are safe, if you decompose to form manure there are two things involved; it's either you grow crops or grow trees.

If you grow crops you are safe, if you grow trees there are two things involved; it's either you're used to make furniture or toilet paper.

If you are used to make furniture you are safe, if you are used to make toilet paper you will probably be used by a man or a woman.

If you are used by a man you are safe, if you are used by a woman there are two things involved; she will probably use you in the back or in the front.

If you are used in the back you are safe, if you are used in the front there are two things involved; it's either you contact gono or you contact AIDS.

If you contact gono you are safe, if you contact AIDS there is only one thing involved, YOU WILL DIE.

AIDS KILLS, STAY SAFE.
 
Back
Top Bottom