Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Mkuu mimi sina dharau,i am very humble guy…Ila pale mtu anaponionesha kejeli wakati i am serious on need of help napata tabu kidogo.
Archana Na wanaokubeza sema Ni kipi kinachokukosesha Amani everyone is a sinner haijalishi Ni Aina Gani ta sin
 
Starehe mnazipenda ila mwisho wake mmbaya, na wengi wameteketea Kwa kuendekeza umalaya,
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
umeroga sana fira sana[emoji304][emoji304] #joking
 
Back
Top Bottom