Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Asee kumbe mchizi wali nazi
 
Mtoto wali nazi..ukoko matandu..2019 alikuwa anawatamani wanaume wenzie uko chuo..washamtifua mtaro tayari
 
Ahaaa sasa nimejua inawezekana huyu jamaa wahuni wamemfanya vitu ambavyo P diddy alikuwa anawafanya kina meek mill, mkuu me nakushauri kama unahisi kubadilika na kumpikea mungu usiwape wahuni tena kinyero chako, wahuni sio watu ofsa..Ova
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Daa atakuwa kashaleft kiumeni nini?🙄
 
  • Dislike
Reactions: Ntu
Thanks..Hili NI shoga
 
Wazee wa risiti na stakabadhi😆😆😆😆🤣🤣🤣

Asante sana ndugu mkutubi.
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Story Haijakamilika Mkuu...!! Endelea Kuteseka ila Hapa Jamvini Hutapata Msaada

NB : Mficha Uchi Hazai
 
Story Haijakamilika Mkuu...!! Endelea Kuteseka ila Hapa Jamvini Hutapata Msaada

NB : Mficha Uchi Haza
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
mambo gani yanakutesa ukikumbuka ni mapenzi ya jinsia moja au?
funguka usaidiwe kijana!
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
Vipi nyeto au??
 
Back
Top Bottom