Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Basi yaishe jamani.Ushahidi gani? Wewe ni mlengo wa upinde,ulikuja haraka inbox ukiwa unahisi ndo shida zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi yaishe jamani.Ushahidi gani? Wewe ni mlengo wa upinde,ulikuja haraka inbox ukiwa unahisi ndo shida zangu.
Mdogo wangu learn to have some respect, nili kufata kukuuliza shida nini.Atajua yeye na dhambi zake huko
Mmmh!!!Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo.
Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu.
Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa choo na tukipata choo ni kidogo sana.
Subhanallah uta adhibiwa kwa moto mbaya kijana, naomba adhabu ya mwenyezi Mungu iku shukie kwa kuni chafua 🙏Ushahidi gani? Wewe ni mlengo wal
Acha nyeto kwa miezi 6 utapona kabisa, tumia Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha twanga ma tangawizi, plus asali, nguvu zitarudi kijanaMkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo.
Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu.
Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa choo na tukipata choo ni kidogo sana.
Sasa mbona kwenye comments ulianza kunicommentia vibaya kwa mlengo huo wa kimombasa halafu ghafla tu huyo upo inbox kwangu,sasa mimi nikueleweje kama sio mambo hayoSubhanallah uta adhibuwa kwa moto mbaya kijana, naomba adhabu ya mwenyezi Mungu iku shukie kwa kuni chafua 🙏
Nime liona Hilo, na najuta kutaka kumsaidia shetani Kama huyu.Tatizo roho yako nzuri kusaidia itakuletea shida siku moja ndugu yang
Shindwa pepo wewe.Nime liona Hilo, na najuta kutaka kumsaidia shetani Kama huyu.
Naomba mwenyezi Mungu, amtwange mapigo 7 mazito ibilisi huyu
Kijana unaeza weka chat hapa, na iki thibitisha kuwa nilikuwa naku uliza shida nini.Sasa mbona kwenye comments ulianza kunicommentia vibaya kwa mlengo huo wa kimombasa halafu ghafla tu huyo upo inbox kwangu,sasa mimi nikueleweje kama sio mambo hayo
Unamwitaje binadamu mwenzako shetani? Shetani ni wewe ambae unawafikoria watu katika maovu ya mlengo wako,ila sio mimi….Nilochoomba ni msaada na sio kejeliNime liona Hilo, na najuta kutaka kumsaidia shetani Kama huyu.
Naomba mwenyezi Mungu, amtwange mapigo 7 mazito ibilisi huyu
Hili SI ndo jina lako halisi, basi Hadi ramadhani Ina Isha, utaleta ushahidi wa Jambo Lita kalo kukuta,Shindwa pepo wewe.
Umeleft group kitambo ...mwanaume huwezi kusema unavutiwa na wanaume wenzako kma wewe sio chokodeHicho kitakuwa kigumu mkuu
Sawa,wewe malaikaHili SI ndo jina lako halisi, basi Hadi ramadhani Ina Isha, utaleta ushahidi wa Jambo Lita kalo kukuta,
Mwenyezi Mungu ni muadilifu, na daima ahadi zake ni timilifu
How sure you are kwamba nimeleft group!!?Umeleft group kitambo ...mwanaume huwezi kusema unavutiwa na wanaume wenzako kma wewe sio chokode
Dah na Uzi Ali andika mwenyewe 😂😂Umeleft group kitambo ...mwanaume huwezi kusema unavutiwa na wanaume wenzako kma wewe sio chokode
2019 ulileta thread yako eti unawatamani wanaume wenzioKwa kuwa ndio michozo unayofanya sio?
Uzuri wa JF nyuzi hazifutiki kudadekiUmeleft group kitambo ...mwanaume huwezi kusema unavutiwa na wanaume wenzako kma wewe sio chokode
Nakurudia Tena, pasipo kukiri kosa, usije uka nilaumu,Sawa,wewe malaika
Sawa niliandika mwenyewe na hizo zilikuwa ni feelings kama feelings nyingine na pia sikuwahi kutamani nipate feelings kama hizo but ndo hivyo ilikuwa ishatokea na pia sio kwamba ni kitu nilichokuwa najivunia bali nilikuwa naumia pia thats why nilikuja kuandika hmu kutafuta msaada….Sasa mnanihukumu as for me kutafuta msaadaDah na Uzi Ali andika mwenyewe 😂😂
Aiseeeee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]2019 ulileta thread yako eti unawatamani wanaume wenzio
Ona sasa leo hii wajutia kweli majuto mjukuu
Wahuni washafanya yao kinga kabisa wewe