Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Wewe upo kama mimi tu,inaonekana upo stressed sana.
[emoji28][emoji28][emoji28] kwamba mnashare experience. Bro anza kujisamehe kwanza wewe mwenyewe. You can't change your past, rekebisha ulipokosea then focus on your future.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kwamba mnashare experience. Bro anza kujisamehe kwanza wewe mwenyewe. You can't change your past, rekebisha ulipokosea then focus on your future.
Yupp stressed ndio
 
Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo.

Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu.

Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa choo na tukipata choo ni kidogo sana.
 
Back
Top Bottom