Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Huwezi jikubali kwa kupingana na nature. Never! Sema kwa nje wanajidanganya.
Ukitaka kujua hawajikubali na wapo kwenye mateso makali. Asilimia 90% hutumia madawa au pombe kama sehemu ya kudhibiti hisia mbaya na kujifariji.

Kwa mwanaume jambo kubwa ambalo atashindwa na kuogopa kulisema ni hilo wadau wanalolihisi.
Sasa mtu anatumia ID fake, Hakuna anayemjua nini kinamshinda kusema anachokabiliwa nacho?
Binafsi nimeshangaa sana, ni jambo gani hilo kubwa mpaka ashindwe kulisema kwa id feki??

Angelisema angepata msaada murua kabisa.
Wapo wenye roho zao nzuri hata pm wangemfata kumshauri, wapo ambao hata wangeonana nae.

Watu huwa wanatiana moyo humu na kufanikiwa kabisa, kama hawezi kulisema basi litamtesa sana.

Godwin peter kua muwazi, kuna waliocomment vizuri hapa, wafate uwaeleze gagasiko lako.
 
Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
Kama ni mambo uliyoyafanya mwenyewe kwa utashi wako usimsingizie Mungu, kama ni mambo ya kuhusu hisia basi Mungu muweke kando maana hahusiki.

Binafsi siamini kama Mungu anaweza kukushawishi utetende dhambi!! Hiyo sio kazi yake na huchukizwa nalo.

Mkuu kama jambo la kihisia basi waone wanasaikolojia wakusaidie.
Kwa jinsi ulivyohitimisha ni wazi kua maneno ya wanajf yana ukali na ukweli kwa kiasi chake.

Ungekua muwazi ungetukanwa na kushauriwa nini cha kufanya ila umekia kiburi na mkaidi matokeo yake watu wameishia kubeza na kutukana.

Lakini acha nikwambie...

Mkuu hamna kosa/dhambi kubwa kushinda nyingine.
Wewe unafeel guilty kwa hicho, mwenzio hicho anakiona kidogo, mwingine akidanganya anafeel guilty ila wengine uongo ndo kazi yao.

Mwingine akiiba anafeel poa ila mwingine akiiba anajuta maisha yote.

Na wote hao wanaofeel guilty wengi mwisho wa siku hukaa sawa maana kujua kua umekosea ni mwanzo mzuri wa kupatia.

As long as umejua ulikosea, tubu na usirudie only that, amini umesamehewa.
Ila kama unaendelea na kila unachokijutia hapo ni ishu nyingine, ila kama umeacha kabisa sioni sababu ya kujifeel vibaya.
Labda kama matendo yako ya nyuma yanaathiri maisha yako ya sasa moja kwa moja.
 
Kijana wa Dar huyo, unaweza kukuta jambo lenyewe ni kudokoa mboga tu kwa mama yake😄😄😄

Sasa itakuwa nn zaidi maana kama ni utoaji wa tigo ameulizwa na amekataa?!!!
 
Huyu ame left tayar ameshapgwa fingers print nying so he can't stand alon

[emoji1625][emoji362][emoji625]


Inaonyesha bado ma X zako wanatak mzgo
[emoji52][emoji52][emoji2][emoji849][emoji24][emoji24][emoji419]

You give the fxxxk
 
Semaq kama uaogopa uda id mpya funguka then potezea akuna akujuae, aibu ulikuwa unakula mashogaau kuliwa sema hakuna kipya chiin ya jua
 
Back
Top Bottom