Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Nilijua sie wanawake ndo tunaongoza kwa roho mbaya na chafu,kumbe hata wanaume?Hivi fikiria huyu angekua nduguyo mngempa maneno makali namna hii?
Kijana pole sana nenda kanisani kaombe toba ya kumaanisha Mungu ni wakwetu sote atakurehemu na kukupa amani mara dufu.Achana na hawa binadam watakatifu wa jf.
Kwa msaada zaidi karibu PM.
Eeeee Mungu yuko wapi mwanamke wa aina hii aje awe tulizo na faraja maishani mwangu ?

Ubarikiwe sana dada .
 
Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
 
Dah sheikh umepiga kwenye mshono
 
Sasa ulikuja humu ili iwaje?

Ungekausha tu ufe nalo...
 
Haya yote umeyataka wewe ungefunguka kinachokusibu watu wasingehangaika kutafuta makaburi ya kufukua, kama husemi tatizo lako watu watakushauri nini? Kama ni kitu cha aibu huwezi kumueleza mtu endelea kulia na Mungu wako hakika atakusaidia, have a nice life too bro.
 
1. Tubu kwa Mungu kosa ulilofanya. Kama uliua au umeruhusu kinyeo chako kuingiliwa, omba msamaha kwa Mungu atakusamehe.
2. Omba uwezo wa Mungu akusaidie usirudie hilo kosa tena. Uwe na nia ya dhati kuacha jambo hilo na muombe Mungu uishinde hiyo dhambi, atakuwezesha kuishinda tabia hiyo mbaya.
3. Jisamehe wewe mwenyewe. Ondoa hatia uliyonayo. Anza upya maisha na jielekeze kwenye maisha chanya.
4. Usisimulie watu hovyo habari ya mabaya uliyoyafanya. Jiepushe hasa mitandao ya kijamii kuelezea machungu yako. Wengi humu watakutatisha tamaa na utaona maisha hayana maana na huku baadhi yao wanayafanya hayo.
Kubwa zaidi, mtangulize Mungu na usiruhusu yeyote asimame kati yako na Mungu, utaishinda vita.
 
Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
Mkuu sikukejeli ila punguza kutafuta huruma kwa watu kumbuka hakuna haki bila wajibu, ujaeleza shida zako unakaa unalalamika na kulaani tu kama we ni Mungu. Kama hukujipanga kuyaweka bayana ili upate ushauri usingekuja na uzi. Pole kwa unayopitia.
 
Sasa kama sijaeleza shida yangu kwanini mtu uje na mambo yasiyokuwepo
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
Tafuta wimbo wa dsimond ....unasema kugongewa ni siri ya ndani ....kama ulipigwa miti we kausha tu ...maana icho ndiyo kitu pekee kinacho weza kumsumbua mtu ukubwani kama ulifanyiwa tena uliofanyanao wapo hai ni hadi wakifa wote ndiyo utakuwa huru
 
Back
Top Bottom