Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life