Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ehehhehe 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehehhehe 😂😂😂
Nimewaza pia2019 ulikua na miaka 24 afu 2024 una 32
Shoga haonewi hurumaKwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
Mimi ni mktisto,nipo kama auditor kwenye audit firm. Naishi mwenyewe
KweliNi upungufu wa nguvu za kiume au lah?
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kabla sijaenda kwa wataalam, sijui ni matatizo ya nguvu za kiume au nini, jana nilimwita bibie geto basi akaniambia saa 12 jion hivi anakuja, sasa ilikuwa mida ya saa 11 hivi uume ukawa umesimama balaa kila nikifikiria leo nakula mzigo na fikiria sana na uume...www.jamiiforums.com
Ana changamoto zinamsumbua huyu
Shoga haonewi huru
Ase, hii thread ya miaka 5 nyuma na jina nilake kabisa, daah ase humu kuna watu wanafukua makaburi sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahitaji Masada
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida...www.jamiiforums.com
Mpaka kujieleza apa inaonekana unajitambua sana, tumia utambuzi uo kujisimamia na kujitadhimin una uwezo wa kujisaidia bila kusikiliza ushaur wa watu humu, labda kama hujaamua tu. Mtu anaehitaji msaada kweli anaonekana tu, ukiona watu wanakukejeli pale unapoomba msaada ujue wanajua kabisa either unahadaha tu watu huitaji msaada wowote either kuna kitu unajipromote kwa mgongo wa kuomba msaada.Nimegundua watu wengi wanapenda sana kujua matatizo ya watu kwa lengo la kuwasakama na kuwakosesha amani…Ila sio kwa lengo la kuwasaidia.Hiyo ni mbaya sana maana watu wanatafuta msaada ila hawapati,kwangu mimi kusaidiwa unajua tungeokoa vijana wangapi katika madhila yanayopitia? Tubadilike maana watu watakuwa wanakaa na matatizo yao tu bila msaada na hivyo sio vizuri.
Kuna kitu umeongea hapo muhimu sana…Jinsi ya kujisimamia mwenyewe japo ni ngumu lakini kutokana na hali ilivyo itabidi nijitahidi hata kwa msaada wa internet pia.Nia ya dhati ipo maana nimeona kabisa ni kitu cha kuniumiza na hakuna msaada kwa watu ila kejeli tu,siwezi kumwambia mtu wangu wa karibu ndo maana nimekuja humu nikijua hakuna mtu ananijua ila naweza kupata msaada bila kuchoreka.Binadamu wana mambo mengi hata mtu ambae unamjua anaweza kukusikiliza ila asikusaidie bali atakutangaza na kukunyooshea vidole wakati kila mtu ana matatizo yake binafsi ambayo yanamsibu.Mpaka kujieleza apa inaonekana unajitambua sana, tumia utambuzi uo kujisimamia na kujitadhimin una uwezo wa kujisaidia bila kusikiliza ushaur wa watu humu, labda kama hujaamua tu. Mtu anaehitaji msaada kweli anaonekana tu, ukiona watu wanakukejeli pale unapoomba msaada ujue wanajua kabisa either unahadaha tu watu huitaji msaada wowote either kuna kitu unajipromote kwa mgongo wa kuomba msaada.
-Miaka mitano nyuma ulivutiwa na wanaume wenzio.Kuna kitu umeongea hapo muhimu sana…Jinsi ya kujisimamia mwenyewe japo ni ngumu lakini kutokana na hali ilivyo itabidi nijitahidi hata kwa msaada wa internet pia.Nia ya dhati ipo maana nimeona kabisa ni kitu cha kuniumiza na hakuna msaada kwa watu ila kejeli tu,siwezi kumwambia mtu wangu wa karibu ndo maana nimekuja humu nikijua hakuna mtu ananijua ila naweza kupata msaada bila kuchoreka.Binadamu wana mambo mengi hata mtu ambae unamjua anaweza kukusikiliza ila asikusaidie bali atakutangaza na kukunyooshea vidole wakati kila mtu ana matatizo yake binafsi ambayo yanamsibu.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Ulikuwa unagawa tigo au ulikuwa unafanya ujambazi?
Mm niliingia mkenge kutoa mimba ya bint wa watuSasa una taka useme wapi??, au uli mforce mtoto wa watu atoe mimba??
Hkn auditor Happ wee Ni pungaMimi ni mktisto,nipo kama auditor kwenye audit firm. Naishi mwenyewe
Hpn kijna aliliwa huyuUkimuuliza sana atakwambia nlikuwa siendagai kanisani
Punguza makali ya nenoHpn kijna aliliwa huyu