Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
Shoga haonewi huruma
 
Ana changamoto zinamsumbua huyu
 
Hata marafiki zake machoko
 
Ana changamoto zinamsumbua huyu
Kweli
 
Nimegundua watu wengi wanapenda sana kujua matatizo ya watu kwa lengo la kuwasakama na kuwakosesha amani…Ila sio kwa lengo la kuwasaidia.Hiyo ni mbaya sana maana watu wanatafuta msaada ila hawapati,kwangu mimi kusaidiwa unajua tungeokoa vijana wangapi katika madhila yanayopitia? Tubadilike maana watu watakuwa wanakaa na matatizo yao tu bila msaada na hivyo sio vizuri.
 
Ase, hii thread ya miaka 5 nyuma na jina nilake kabisa, daah ase humu kuna watu wanafukua makaburi sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mshkaji anahitaji msaada maana hili suala nilamuda sasa
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Nimegundua watu wengi wanapenda sana kujua matatizo ya watu kwa lengo la kuwasakama na kuwakosesha amani…Ila sio kwa lengo la kuwasaidia.Hiyo ni mbaya sana maana watu wanatafuta msaada ila hawapati,kwangu mimi kusaidiwa unajua tungeokoa vijana wangapi katika madhila yanayopitia? Tubadilike maana watu watakuwa wanakaa na matatizo yao tu bila msaada na hivyo sio vizuri.
Mpaka kujieleza apa inaonekana unajitambua sana, tumia utambuzi uo kujisimamia na kujitadhimin una uwezo wa kujisaidia bila kusikiliza ushaur wa watu humu, labda kama hujaamua tu. Mtu anaehitaji msaada kweli anaonekana tu, ukiona watu wanakukejeli pale unapoomba msaada ujue wanajua kabisa either unahadaha tu watu huitaji msaada wowote either kuna kitu unajipromote kwa mgongo wa kuomba msaada.
 
Kuna kitu umeongea hapo muhimu sana…Jinsi ya kujisimamia mwenyewe japo ni ngumu lakini kutokana na hali ilivyo itabidi nijitahidi hata kwa msaada wa internet pia.Nia ya dhati ipo maana nimeona kabisa ni kitu cha kuniumiza na hakuna msaada kwa watu ila kejeli tu,siwezi kumwambia mtu wangu wa karibu ndo maana nimekuja humu nikijua hakuna mtu ananijua ila naweza kupata msaada bila kuchoreka.Binadamu wana mambo mengi hata mtu ambae unamjua anaweza kukusikiliza ila asikusaidie bali atakutangaza na kukunyooshea vidole wakati kila mtu ana matatizo yake binafsi ambayo yanamsibu.
 
-Miaka mitano nyuma ulivutiwa na wanaume wenzio.
-Mwaka huu ukashindwa kusimamisha ukauliza kama ni tatizo la nguvu (possibly baada ya kuvutiwa na wanaume wenzio uliingia kwenye michezo ya sodoma)
-Juzi unalalamika una tatizo bila kulitaja (Ukute uligundua unashindwa kusimamisha kutokana na sababu mbi za hapo juu)

Mfululizo wa thread unakuhukumu usilaumu watu
 
Back
Top Bottom