Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Atajua yeye na dhambi zake huko
Mdogo wangu learn to have some respect, nili kufata kukuuliza shida nini.

Ukasema Nina utani mwingi unao weza kumu umiza mgonjwa wa tatizo fulani, nika kwambia be open sisi wanaume tujue tuna kusaidia vipi.

Ukasema hauniamini, Nika kuambia sihitaji imani yako, ila nenda hospital au nadanganya??
 
Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo.

Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu.

Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa choo na tukipata choo ni kidogo sana.
Mmmh!!!
 
Acha nyeto kwa miezi 6 utapona kabisa, tumia Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha twanga ma tangawizi, plus asali, nguvu zitarudi kijana
 
Sasa mbona kwenye comments ulianza kunicommentia vibaya kwa mlengo huo wa kimombasa halafu ghafla tu huyo upo inbox kwangu,sasa mimi nikueleweje kama sio mambo hayo
Kijana unaeza weka chat hapa, na iki thibitisha kuwa nilikuwa naku uliza shida nini.

Mwenyezi Mungu aku adhibu Mara 3, Nita omba upate adhabu nzito mdogo wangu, hii kauli uta ikumbuka ramadhani hii
 
Dah na Uzi Ali andika mwenyewe 😂😂
Sawa niliandika mwenyewe na hizo zilikuwa ni feelings kama feelings nyingine na pia sikuwahi kutamani nipate feelings kama hizo but ndo hivyo ilikuwa ishatokea na pia sio kwamba ni kitu nilichokuwa najivunia bali nilikuwa naumia pia thats why nilikuja kuandika hmu kutafuta msaada….Sasa mnanihukumu as for me kutafuta msaada
 
2019 ulileta thread yako eti unawatamani wanaume wenzio
Ona sasa leo hii wajutia kweli majuto mjukuu
Wahuni washafanya yao kinga kabisa wewe
Aiseeeee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]
 
Back
Top Bottom