Kuna mambo ukiyaendekeza kama kijana kutoboa ni ngumu

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU.

Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli

1. Kuendekeza mambo ya dini.
Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni kugusa tuu.

2. Kuendekeza Siasa.
Mara moja moja sio mbaya kama kuna ishu muhimu lakini sio kila kukicha ni wewe na siasa, siasa na wewe. Kazi kukimbizana na serikali au kuwa chawa wa serikali

3. Kuendekeza Wanawake.
Siku zote wanawake ni liability. Huwezi pata faida kwa kukimbizana na wanawake
Tafuta binti mmoja mbichi(lazima awe mdogo kwako), lazima awe kilometa hazijasoma nyingi, kisha mweke ndani.

4. Starehe zilizopitiliza.
Mapombe yaliyopitiliza, na kukimbizana na makahaba kwenye club au casino.
Huyo binti uliyemchagua kila mwezi kafurahieni maisha kama ni club au beach wote kwa pamoja.

5. Kamari
Ni kosa la kiufundi kijana mwenye nguvu kuamini kwenye bahati nasibu. Ukiendekeza bahati nasibu lazima uwe maskini.

6. Kubadilisha badilisha kazi na kurukia mambo
Tafuta kazi mbili ambazo utaamua kuzifanya katika maisha yako. Tafuta ujui wa kazi hizo. Kisha ishi kwazo.
Usiruke ruke. Leo sijui winga, kesho bodaboda, kesho kutwa mpika chips, mtondogoo unafanya kilimo nope!
Mambo hayaendi hivyo.
Jitathmini.
Angalia nini unapenda kufanya, kisha fanya maisha.

Nawatakia maandalizi mema ya sabato.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mwalimu, nimezingatia yote hayo uliyosema tangu nimezaliwa lakini maendeleo nimeishia kuyaona kwa akina Riz1

Tushauri tufanye nini tena😜

NB; umeandika sahihi sana Mkuu, natambua hata members humu wakijifanyia self assessment wanaweza kuwa mashahidi wa ulichoandika
 
Vijana wazingatie sana hayo.
 
Vijana wazingatie sana hayo.
Kabisa, Kwa kuhitimisha hoja yako

Vijana waepuke sana Wanawake wengi pamoja na unywaji mwingi wa pombe

Ukiwa na tabia hizo tu, ukifanya tathmini Kwa Mwaka unaweza kujikuta umetumia zaidi ya milioni 15 kwenye hayo maeneo

Ni vile huwa hatuzioni kuwa ni nyingi kwakuwa tunatoa 50k hamsini Kila baada ya Siku 2 🙌
 
Hapo kwenye kazi umezingua.....nyakati zimebadilika usikariri ! Ina maana kama mimi ni shoe shine nikomae nayo mpaka kiama sio!

Watu wanabadilisha mazingira, wanakutana na watu wapya na fursa mpya, amka usingizini
 
Hayo yote uliyoandika hayana tatizo, tatizo ni ccm ndio wanafanya mnabaki masikini, we huoni wao wanafanya yote na bado ni matajiri.
 
KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU.

Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli

1. Kuendekeza mambo ya dini.
Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni kugusa tuu.

2. Kuendekeza Siasa.
Mara moja moja sio mbaya kama kuna ishu muhimu lakini sio kila kukicha ni wewe na siasa, siasa na wewe. Kazi kukimbizana na serikali au kuwa chawa wa serikali

3. Kuendekeza Wanawake.
Siku zote wanawake ni liability. Huwezi pata faida kwa kukimbizana na wanawake
Tafuta binti mmoja mbichi(lazima awe mdogo kwako), lazima awe kilometa hazijasoma nyingi, kisha mweke ndani.

4. Starehe zilizopitiliza.
Mapombe yaliyopitiliza, na kukimbizana na makahaba kwenye club au casino.
Huyo binti uliyemchagua kila mwezi kafurahieni maisha kama ni club au beach wote kwa pamoja.

5. Kamari
Ni kosa la kiufundi kijana mwenye nguvu kuamini kwenye bahati nasibu. Ukiendekeza bahati nasibu lazima uwe maskini.

6. Kubadilisha badilisha kazi na kurukia mambo
Tafuta kazi mbili ambazo utaamua kuzifanya katika maisha yako. Tafuta ujui wa kazi hizo. Kisha ishi kwazo.
Usiruke ruke. Leo sijui winga, kesho bodaboda, kesho kutwa mpika chips, mtondogoo unafanya kilimo nope!
Mambo hayaendi hivyo.
Jitathmini.
Angalia nini unapenda kufanya, kisha fanya maisha.

Nawatakia maandalizi mema ya sabato.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
WAtibeli ni watu wema sana.
 
Back
Top Bottom