Kuna mambo watu hawayaelewi kuhusu Mungu

Ndugu, una chanzo chochote au na wewe umefikiria akili yako ikaishia hapo ukaungaunga ukaamua kuja na hili
 
Itoshe kusema MAARIFA ya Mwanadamu Kwa Mungu ni UJINGA, Tena UJINGA wa kiwango cha TOPE. Hapa mko mnajadiri Kuhusu Mungu wakat mlete Uzi washasema Mungu Hana Mwanzo wala mwisho, sasa utakielewaje kitu ambacho hakina mwanzo wala mwisho??
#Mungu hachunguziki no matter neno"MUNGU " ni cheo or not lakn hicho hicho CHEO hakichunguziki. Over!!!
 

Kwa hil Naunga mkono.
 
Kama Mungu ni cheo upo sawa je Mungu Jina Lake Nani basi maana ni lazima ukijue unachokiabudu. Sifa ya uungu hana yeyote yule isipokuwa Yesu. Hivo Mungu wangu Jina lake Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…